Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaahaaa umeonae... Jamaa kaponya penzi la mtu halafu anataka kutuacha njiani... Haiwezekani na haikubaliki... Hapa nipo njiani.. mkapa nifike Langalabilibi kwa Khumbu wanguPambana tu mnyantuzu ataelewa.
Mzee Kileleni ufikishwe mwenyewe [emoji23]
Alisema Jumatano (kesho) Anashusha gazetiDah!!! Nimeamini huu uzi unawanyima watu usingizi. Nikajua nikiamka nitakuta konda msafi katupia ila watu bado wamelala, kumbe hakuna.
Inawezekena Halafu Naona jamaa hajui kusoma akaelewa. Pia inaelekea hajui chochote humu duniani. Mtu mwelewa huwa akisikia kitu hakurupuki kupinga hupima na kupata majibu. Mpotezeeni maana Ni Kama nzi was chooni wanaovamia meza ya chakula ili tuu kuondoa burudani ya msosiNdugu wewe ni muha ?
Jamani eeh, sinema imeisha kila mtu aende kwao... bado mnasubiri nini hapa!
Washazoea hawa kuabudu viongozi wa ccm kwa nafasi wanazopewa na wananchi wakati wananchi ndio maboss wa wanasiasa duniani.Hongera wewe usiyedanganywa na unaendelea kukomaa kwenye uzi wa mtu anaekudanganya sasa unafanya nini hapa? Yani unasema unadanganywa bado upo unasoma uone huo udangayifu Aseee only in Tanzania. Wewe tuache wenyewe tumeupenda wenyewe usiharibu starehe za watu.
Huna kazi ya kufanya we Guruguja, unakalia kuhesabu pages
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeacha mkuuAcha basi kumshtua huyo mjinga atakuja nitolea povu bure!![emoji3]
Unjani?Mgagaa na Upwa niambie.....naona mmekusanywa kama nyumbu mnapigwa fiksi..story ilishaisha zamani.
Iliishia pale alivyoniona nimeshikwa kiuno kule mall.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe ni mshamba Kama Id yako ilivyo ya kishamba
Nahisi kama style ya kukung'uta siafu ndiyo hiyo anayofanya huyu shoga mwenye pensi ya pundamilia, nasema uongo ndugu zangu?Si unaona mambo yao , wanaringishia makalio
Wasomee tu....mi ndo Khumbu khumbukan peresa .
duh hapo huwezi jua km ni wanaume au wanawake sura maumbo hata unyoaji waoSi unaona mambo yao , wanaringishia makalio https://www.jamiiforums.com/data/video/2692/2692649-f7df2e5cbdf5e5b24b0569ef1a06da64.mp4
Hiyo ngoma inaitwaje bro?Si unaona mambo yao , wanaringishia makalio
Hata napita tuu!Vipi tena[emoji849]
asa utamu wooote huo unakuja kuwaka jua la bongo? Afadhali piga kimya!!! Na hii covid hutakaa urudi huko tena. Walioko huko wamefika sasa tuwasahau ni watapewa uraia mpaka basi na bure.South akuna miaka 30! Mwanafunzi anazaa,anaomba matunzo social walfare...anaacha mtoto na mama ake anarudi Shule!! Ijumaa,jumamos anajiuza kama malaya akuna shida!! Acha tu niliwai kaa huko for 4 yrs. Kule wanawake ni bidhaa kama vile vocha n.k