Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hata mimi najua kitambulisho ndio kiliniokoa. Ukiwa mwanafunzi kuna perception flani watu huijenga kwamba upo safi.
Sasa mkuu najua nyumbani ni nyumbani tu sasa nakuuliza hivi raha zooote hizo unarudi Mbagala kunako madmbwi ya maji kweli?

kwetu kamunyonge Musoma lkn nilivoonja utamu wa Dar sinza. Yaani niliona kila siku ni sherehe kwangu .mpaka nikapata shule ndo kabisaaa kwani nilipa kumbuka tena kamunyonge!!

Sasa wee kwa maisha ya south kwa style uliyo simulia siyo rahisi kuyaaacha eti uje uishi na hili lisukuma lenye kinyongo na mpaka kwa maskini.

hata km unaishi masaki. Vinginevyo tukupime akili kwani hapo south na mtwara pana umbali gani?

Ukivuka ka nchi kamoja tu ka Msumbiji ni umefika eti unakuja kufa njaa hapa kweli?

sema ukweli wako umesimuliwa wewe na wajanja!! Haiwezekani uache unono eti wende ukafe njaa mbagala. Kule migari mikali ni poa sana una pack uani tu.

Magu mwenyewe anaogopa kuishi kwao na maskini kucha kutwa Yuko Dar. Umaskini unatisha watu wenye akili wewe! Husisimka mwili Japo hawawezi kukuroga tena.

Hapo kenya tu. Watu wanarudi bongo kwa mapozi sembuse south. Uache tape water inayo tiririka km maji ya kilimanjaro,misosi mizuri mizuri.watoto wazuri wazuri.migari bwena kazi nzuri?.. tena na covid hii watu wanahitajika kikazi sana.

Japo basi ukachunge mifugo wa masettler inalipa kuliko kulipwa bongo!!!

Km vipi si ungeenda hata hapo kingdom of Lesotho ujipange upya? Ni pazuri pametulia
 
Mkuu South africa niliondoka. Tena niliondoka nikaacha na kazi kwa ku-resign maana tayari nilikuwa nimepata ajira rasmi kwenye kampuni kubwa tu ya ujenzi.
 
Aliyeelewa hata 5% anipe summary please
 
Mkuu South africa niliondoka. Tena niliondoka nikaacha na kazi kwa ku-resign maana tayari nilikuwa nimepata ajira rasmi kwenye kampuni kubwa tu ya ujenzi.
Daaaa!! Mkuu ukaacha kabisaa???!!! Na mshahara mnono??
Jumba zuri eti Uje hapa jua kali hivi?? jamani weee!!!ayayayaaa!!!!

wewe uliitwa home kwenu kichawi najua wazigua/waha/wasukuma wanazijua sana hizi dawa za mwito.wewe hukosi hayo maka bila.

Hata kama mtu alikutishia kukuua hallow! unakufa wewe kwanza hata iweje!! Maisha ya South raha bana. Unaweza sahau chupi!

Mkuu achana na uzungu kapige ramli kuna kitu kimekukalia vibaya
 
nG'aMBu shekhe njoo tujaribu hapa episode ya pili tunaweza pata kitu.
 
Mhh hebu tuacheni msifanye watu waanzishe fursa za kufundisha wadada style ya kung'uta siafu tukatozwa hela za kufa mtu. hahahah Lungi atakua anajua si msouth Africa na yeye?

Nilimmaind sana alivyomtelekeza na kumuumiza Lincoln Sibeko.
 
Mm nimerudia mara 100, ikabidi nimpigie jiwe anaweza kunielekeza maana anajua kila kitu, cha ajabu na yeye hajaelewa, daaah hatari hii shekhe
wakenya hawajui kiswahili hata iweje
 
Dah hongera sana Konda Mafi. Very nice story. Una umahiri wa kuelezea story sana
 
Back
Top Bottom