Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho


Weka namba fasta,kabla hatujaulizwa hela ya sukari
 
Namba hiyo wakuu 0676405024. Imesajiliwa kwa jina la Samaritan Water Solution. Ni kampuni yangu wakuu. Unaweza kuchangia chochote mkuu, hata 1,000, 500 wewe tupia tu hela ya bando itapatikane.
 

Weka namba[emoji23][emoji23]
 
vip boss niaje mshua.., una buku hapo sinaa. tuendelee na stor weka no
 
Nimeweka mkuu. 0676405024. Samaritan Water Solution.
Duh hi namba ni ya Tigo au? mbona haitoi Jina la Samaritan Water Solution au ni Halopesa?
weka namba ingine km ipo mambo ya jina kutokea usijali kwani majina yetu mbona utayaona?
jioni shusha Episode na iwe kila siku km Isidingo tutakujaza tu, hatuna pa kwenda liCOVID limebana kichizi mtaani
 
Daaah kweli SA sio mchezo kunanifaa kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu, namba ipo sahihi. Kuwa makini tu usikosee hata tarakimu moja. Hiyo ni namba ya tigo.
 
Sasa hivi rand imeshuka sana. Kipindi kile miaka 2003 hadi 2012 rand 1 ilikuwa ina range kwenye TZS 180 hadi TZ200. Sasa hivi nadhani rand 1 ni sawa na TZS 164.
Rand 50 ilikuwa sawa na buku 10
Rand 300 sawa na 60000
Daaah mkuu mbona bei elekezi kabisa hyo na hapo gest hulipii hapo mambo ya nauli bia misosi kwa malaya hakuna...!!!unajihudumia mwenyewe tu daah kwa kaburu raha sana
 
Namba hiyo wakuu 0676405024. Imesajiliwa kwa jina la Samaritan Water Solution. Ni kampuni yangu wakuu. Unaweza kuchangia chochote mkuu, hata 1,000, 500 wewe tupia tu hela ya bando itapatikane.

Ni mtandao gani huu mkuu?
 
Wewe ni mwandishi mzuri,ingependeza ukaandika kitabu KWA sehemu zilizobaki ili tununue kuliko kuchangishqna humu
 
Wewe ni mwandishi mzuri,ingependeza ukaandika kitabu KWA sehemu zilizobaki ili tununue kuliko kuchangishqna humu
Mkuu, sisi tunataka stori nzima iletwe hapa kwanza. Jamaa anaomba ya bundle tu wala hajataka mambo mengi. Kuandika kuna kula muda sana, mambo yake mengi anayaacha ili tu aweze kuandika, hebu tuwe waungwana basi tumuunge mkono. Hicho kitabu akiandika huenda hata usinunue. Wewe mchangie tu hiyo buku tuendelee kupata matukio ya kung'uta siafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…