Kule mzee wamehalalishwa. Wanaitwa sex workers. Ukimuita jina la kumdhalilisha akikupeleka mahakamani lazima akutoe upepo. Sex workers wa kule kwa ufahamu wangu wamegawanyika makundi matatu. Kundi la kwanza ni wale wanaojipanga mitaani nyakati za usiku kama ilivyo huku bongo. Hao bei zao ni maelewano tu. Kundi la pili ni wale wanaopanga vyumba kwenye night clubs. Ninaposema night clubs haina maana hizo club hazifanyi kazi mchana. Hili kundi la pili ukiienda kwenye hizo clubs unawapata masaa 24, yaani ukiingia tu ndani ya club/bar unawakuta wamejaa kama darasani. Wako kwenye visiketi vifupi tu, mapaja njenje. Ukiwaleta bongo hao huwezi kuwapata kama wewe ni kapuku, lazima wenye pesa zao ndio wajimilikishe. Ukiingia humo unachagua unayemtaka. Wamepanga vyumba humo humo ghorofani, maana bar inakuwa chini ya ghorofa huko juu ndio kuna vyumba wamepanga. Hapo ni pisi kali tu. Hakuna demu mbovu. Demu mbovu hawezi kwenda sehemu hizo kujiuza maana hawezi kupata mteja. Bei zao hao ni rand 50. Kundi la tatu ni hawa wanaitwa Escort agency. Hawa unakuta mtu mmoja kawaajiri, anawalipa mshahara kwa hiyo amewaweka kwenye nyumba na kuwahudumia. Kwa hiyo wewe ukiwataka either unapiga simu unaletewa huduma mpaka kwako, au unaenda mwenyewe kwenda kuchagua. Ukifika pale, utakupa kuna sehemu ya mapokezi kama zilivyo ofisi za kawaida. Madada wataitwa wote halafu wewe utachagua unayemtaka, nazo pia ni pisi kali. Zinakuwa zimo kwenye chupi tu, namaanisha chupi tu. Ukimchagua unayemtaka either utaondoka naye au utamla hapo hapo maana huwa kuna vyumba. Bei zao ni kuanzia rand 300.