Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kule mzee wamehalalishwa. Wanaitwa sex workers. Ukimuita jina la kumdhalilisha akikupeleka mahakamani lazima akutoe upepo. Sex workers wa kule kwa ufahamu wangu wamegawanyika makundi matatu. Kundi la kwanza ni wale wanaojipanga mitaani nyakati za usiku kama ilivyo huku bongo. Hao bei zao ni maelewano tu. Kundi la pili ni wale wanaopanga vyumba kwenye night clubs. Ninaposema night clubs haina maana hizo club hazifanyi kazi mchana. Hili kundi la pili ukiienda kwenye hizo clubs unawapata masaa 24, yaani ukiingia tu ndani ya club/bar unawakuta wamejaa kama darasani. Wako kwenye visiketi vifupi tu, mapaja njenje. Ukiwaleta bongo hao huwezi kuwapata kama wewe ni kapuku, lazima wenye pesa zao ndio wajimilikishe. Ukiingia humo unachagua unayemtaka. Wamepanga vyumba humo humo ghorofani, maana bar inakuwa chini ya ghorofa huko juu ndio kuna vyumba wamepanga. Hapo ni pisi kali tu. Hakuna demu mbovu. Demu mbovu hawezi kwenda sehemu hizo kujiuza maana hawezi kupata mteja. Bei zao hao ni rand 50. Kundi la tatu ni hawa wanaitwa Escort agency. Hawa unakuta mtu mmoja kawaajiri, anawalipa mshahara kwa hiyo amewaweka kwenye nyumba na kuwahudumia. Kwa hiyo wewe ukiwataka either unapiga simu unaletewa huduma mpaka kwako, au unaenda mwenyewe kwenda kuchagua. Ukifika pale, utakupa kuna sehemu ya mapokezi kama zilivyo ofisi za kawaida. Madada wataitwa wote halafu wewe utachagua unayemtaka, nazo pia ni pisi kali. Zinakuwa zimo kwenye chupi tu, namaanisha chupi tu. Ukimchagua unayemtaka either utaondoka naye au utamla hapo hapo maana huwa kuna vyumba. Bei zao ni kuanzia rand 300.
Rand 50 EF 8 u 9 hii
 
Nimesafiri kwa siku kadhaa nimefika south afrika nipo kwenye njia moja inaelekea juu nashindwa kuelewa nielekee wapi nakutana tu na watu wananiambia "unjani" sijui maana yake nini.Nimekuja kumtafuta khumbu
 
Habari za asubuhi wakuu? Leo kama nilivyoahidi nitaweka mwendelezo. Nadhani kwenye mida ya jioni nikimaliza shughuli zangu nitapata muda wa kutosha na kuishusha hapa. Jamani hebu naomba mchangie hata buku ya bando basi, msihofu sitawapelela Telegram, nitaweka namba hapahapa ili yeyote atakayeguswa anachangia hela ya bando. Bando zimepanda bei jamani, halafu hii stori sio siri sikutegemea kama ingekula muda wangu hivi na kuvuta hisia za watu wengi kiasi hiki. Kuna watu wengi wamenifuata inbox wakinisihi hii stori nisiisumarize bali niielezee kwa urefu maana nikiisumarize itapoteza mvuto nilioanza nao. Nimekubali ombi lenu, tuwe pamoja hadi mwisho wakuu. Jioni itaendelea.
Weka namba
 
Namba hiyo wakuu 0676405024. Imesajiliwa kwa jina la Samaritan Water Solution. Ni kampuni yangu wakuu. Unaweza kuchangia chochote mkuu, hata 1,000, 500 wewe tupia tu hela ya bando itapatikane.
Ungekuwa afisa kipenyo hapa ungeokota wengi sana Mkuu
 
Jamani hebu tumuunge mkono huyu aliyeenda kutuwalilisha vyema huko bondeni. Buku mbona hela ndogo sana wakuu ukilinganisha na muda anaoutumia kuandika huu mkasa? Wabongo tuacheni kupenda vya bure. Jamaa alipotaka kusitisha hii stori kila mtu alianza kutoa povu, sasa hivi utashangaa hata kuchangia 500 tu ili jamaa apate moyo wa kuendelea kutuburudisha inakuwa shida. Wengine kupitia yeye tunaanza kuelewa life la huko kabla hata hatujafika.
 
Wakuu tumsupport jamaa, ili tumpe moyo ili atupe story live bila chenga.

Wafuasi wa kung'uta siafu mkuje hapa kuna sahani ya upendo.
 
Jamani hebu tumuunge mkono huyu aliyeenda kutuwalilisha vyema huko bondeni. Buku mbona hela ndogo sana wakuu ukilinganisha na muda anaoutumia kuandika huu mkasa? Wabongo tuacheni kupenda vya bure. Jamaa alipotaka kusitisha hii stori kila mtu alianza kutoa povu, sasa hivi utashangaa hata kuchangia 500 tu ili jamaa apate moyo wa kuendelea kutuburudisha inakuwa shida. Wengine kupitia yeye tunaanza kuelewa life la huko kabla hata hatujafika.
hahaahahah naona ID za south zinaongezeka kwa kasi khumbu_peresa workshop na hatimae Inanda haya tuendelee..
 
Rand 50 ilikuwa sawa na buku 10
Rand 300 sawa na 60000
Daaah mkuu mbona bei elekezi kabisa hyo na hapo gest hulipii hapo mambo ya nauli bia misosi kwa malaya hakuna...!!!unajihudumia mwenyewe tu daah kwa kaburu raha sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Daahh very interesting yaani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Badae nitaweka no.yangu munichangie pesa kidogo ya bando ili niweze kuwaletea picha ya khumbu [emoji28]
 
Km umenielewa nashukuru mwamba.

Ila usije ukatuletea swagga zako za ki ndezi eti inaendelea kesho na unajua kabisa leo wiki end macho kodo kwenye story.

Fanya Fanya fasta uendeleze story halafu, kama unajua kabisa huandiki mambo ya mapenz, eeehhhh kutanua vile, oooohhh mambo ya kudinyana bora story iishie hapa hapa tunaendelee na harakati zetu za kutongoza hela.

Hii story ni km mkanda wa X tu huwezi kuangalia mkanda wa X halafu usikutane na mambo ya X.

So, shusha mzigo km wote usipunguze maana hapa tupo mapenzini hivyo uzi ukae ki mapenz mapenz ndo utanoga.
Usilete habari zako za kisenge eti umekwazika!
Dah mkuu kwa vile jamaa amekuondoa hofu ndo umeamua kutiririka na mineno kuntu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom