Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] michango ya bundle imewakimbiza

Konda msafi angesema aende telegram watu walipie bukubuku ngewasikia hapa kama shida bundle na mda wako ungeweka no tukuchangie kaweka no michango hakuna

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️
 
Tuendelee mzee, nakubali kabisa hiyo staili ya kushika Ukuta kwa dada mwenye tako, shughuli inaisha muda mfupi tu
 
Jamani tunataka kujua Khumbu alikufaje? Nini kilimuua? Halafu uhai wa Konda msafi ulitishiwaje? Hebu tumeni hela ya bundle jamani hii stori iendelee. Kuna cha kujifunza hapa. Tusipende vitu vya bure wakati konda naye ana majukumu yake, kuandika hii stori nayo ni shughuli. Episodes kama 80 hivi tayari keshaandika, sio shughuli ndogo. Ingekuwa ni kitabu angekuwa anakaribia kukimaliza tayari kwa kukiingiza sokoni na mungeenda kukinunua kwa hela nyingi. Hapa mnaombwa buku tu lakini mnakuwa wagumu kuchangia.
 
0676405024....fanya mpango wa bando basi...tumrahisishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…