Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambo sanaKaomba tumchangie hela ya bundle..
Naomba 0676405024
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] michango ya bundle imewakimbiza
Konda msafi angesema aende telegram watu walipie bukubuku ngewasikia hapa kama shida bundle na mda wako ungeweka no tukuchangie kaweka no michango hakuna
Unaenda wapi eti[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1436][emoji3601][emoji1436][emoji3601]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha watuache na vitambi vyetu watakuja kusema wenye vitambi tunafarijiana
Tuendelee mzee, nakubali kabisa hiyo staili ya kushika Ukuta kwa dada mwenye tako, shughuli inaisha muda mfupi tu
Naona watu wanarukaruka tu humu, toeni mchango basi
Nimeshakunjua kitambo mkuu, nasubiri konda atupie episode nyingine0676405024 .....bando kwa konda msafi
Natoa kesho mkuu,We umetoa? 0676405024
Haya ndio maneno sasa jamani na wengine mtumeNimeshakunjua kitambo mkuu, nasubiri konda atupie episode nyingine
Tupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watakuja tu mama tutawaona
Jamani tunataka kujua Khumbu alikufaje? Nini kilimuua? Halafu uhai wa Konda msafi ulitishiwaje? Hebu tumeni hela ya bundle jamani hii stori iendelee. Kuna cha kujifunza hapa. Tusipende vitu vya bure wakati konda naye ana majukumu yake, kuandika hii stori nayo ni shughuli. Episodes kama 80 hivi tayari keshaandika, sio shughuli ndogo. Ingekuwa ni kitabu angekuwa anakaribia kukimaliza tayari kwa kukiingiza sokoni na mungeenda kukinunua kwa hela nyingi. Hapa mnaombwa buku tu lakini mnakuwa wagumu kuchangia.
Nguvu zilizotumika kutoa povu wakati stori inataka kukatishwa itumike pia leo kwenye kumuunga mkono Konda Msafi
Fanya hivyo mkuu, konda naye tumtie moyo. Kaandika parefu sana. Hivi tupo episode ya ngapi vile? Tuma hata buku 5 mkuu tumchangia mwamba.Natoa kesho mkuu,