geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
Mie kesho asubuhi tu namrushia.0676405024....fanya mpango wa bando basi...tumrahisishie.
Mimi tayari, wewe je?We tayari
Hakuna shida mkuu, tupo pamojaFanya hivyo mkuu, konda naye tumtie moyo. Kaandika parefu sana. Hivi tupo episode ya ngapi vile? Tuma hata buku 5 mkuu tumchangia mwamba.
Gerald hela ni hela usijali kabisa na kutoa ni moyonimetuma jelo mkuu
Muda ule ule alivyo toa no mkuu.Mimi tayari, wewe je?
[emoji28][emoji28][emoji28]au nasema uongo ndugu yangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We hujalala bado? Ya bandoro umetuma? Fanya kuhamasisha basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji2]bila shaka utakua ni miongoni mwa wale watatu wa awali aliosema konda. Hiyo nzuri mkuuMuda ule ule alivyo toa no mkuu.
Muulize konda msafi kama nimetuma au sijatumaWe hujalala bado? Ya bandoro umetuma? Fanya kuhamasisha basi
Hahah kweli kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]au nasema uongo ndugu yangu?
Acha uongo wewe. Mbona nimeliangalia jina kwenye tigopesa linakuja lile lile alilolitaja.Natuma huko. Jina litakuja Atunyonyile Mwakinyonyo
Iliishaje mkuu? Ulifanikiwa kuirudisha?Kuna demu mmoja singida alinifanyia ujinga huo. Nilimpa hela sh 90,000 kuwa akaanzie biadhara kumbe yeye njama yake ni kurudi kwa jamaa yake. Alirudi ,ila nikamwambia hela yangu itarudi kwa njia yoyote.
Kuna mambo mengi yanafanyika humo ndani,Siku nzima mtakuwa mnaongea nini humo ndani[emoji41][emoji41]
Hebu mtupe experience wajuvi wa haya mambo [emoji1436][emoji3601]
sure shunie....story inazd kua tamu.....pale kuliwa msibani pamenihamisha kuchangia kidogoGerald hela ni hela usijali kabisa na kutoa ni moyo