Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kama hawajisumbui kuchangia hela ya bando, basi na ww usijisumbue kupost muendelezo wa hii kitu...
Mie sina kila kitu kwahiyo usinijumlishe kwao hao... (ntumie tu inbox,ntakuchangia dua tu)
 
Kama hawajisumbui kuchangia hela ya bando, basi na ww usijisumbue kupost muendelezo wa hii kitu...
Mie sina kila kitu kwahiyo usinijumlishe kwao hao... (ntumie tu inbox,ntakuchangia dua tu)
 
Stori imevutwa vutwa sana, chenga chenga nyingi, sababu kila uchwao, mashart lukuki na sasa hata ile ladha yake hakuna tena, msema ukweli mpenz wa Mungu.
Kwa sasa ungeachia hapa tu iishie hapo ilipoishia lakin haya ya kuomba bundle sijui watu wachangie hela kujishushia credibility,
 
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok

Kwamba anashare demu na wauza mitumba wa karume.kwamba wao hawana mstima?! Shame on you little prunk, nilichogundua wewe utakuwa unatype ukiwa umekaa kwenye sofa la shemeji yako aliyekaa pembeni yako akijimegea karanga mbichi tende na supu ya pweza kwa ajili ya kumshughulikia dada yako
 
watu walikua wanasisitiza wapo tayari kutoa chochote na wahamie telegram,sasa mkubwa kaweka namba watu wachangie watu wana view kimya kimya😂😂😂😂😂nchi hii ina wanafiki sana😂😂JAMANI TUMCHANGIE konda
 
Stori imevutwa vutwa sana, chenga chenga nyingi, sababu kila uchwao, mashart lukuki na sasa hata ile ladha yake hakuna tena, msema ukweli mpenz wa Mungu.
Kwa sasa ungeachia hapa tu iishie hapo ilipoishia lakin haya ya kuomba bundle sijui watu wachangie hela kujishushia credibility,
Wabongo bhana..
 
Back
Top Bottom