The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Duh kimya sana au umeenda msibani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujishushia credibility kwa vipi mkuu? Hivi unadhani kuandika stori ndefu kama hii inayoburudisha na kugusa hisia za wengi ni kitu rahisi? Naamini watu wengi sana wana stori nyingi ambazo wangeweza ku-share hapa jukwaani, ila kuandika stori humu jf mpaka watu wakaielewa na kuipenda sio kitu rahisi kama unavyoweza kufkiria. Ni kipaji kama vipaji vingine. Kuna ugumu gani wa kusupport na kuunga mkono jitihada za Konda? Hata kama umeshindwa unakausha tu, sababu sio lazima. Watakaoguswa watamuunga mkono. Ubinafsi sio mzuriStori imevutwa vutwa sana, chenga chenga nyingi, sababu kila uchwao, mashart lukuki na sasa hata ile ladha yake hakuna tena, msema ukweli mpenz wa Mungu.
Kwa sasa ungeachia hapa tu iishie hapo ilipoishia lakin haya ya kuomba bundle sijui watu wachangie hela kujishushia credibility,
Stori imevutwa vutwa sana, chenga chenga nyingi, sababu kila uchwao, mashart lukuki na sasa hata ile ladha yake hakuna tena, msema ukweli mpenz wa Mungu.
Kwa sasa ungeachia hapa tu iishie hapo ilipoishia lakin haya ya kuomba bundle sijui watu wachangie hela kujishushia credibility,
MmmhKawaacha kwenye mataaaaa halooooo haloooo
[emoji16][emoji16][emoji23]Sasa leta story mbona hela nimetuma kama vipi nitumie stori inbox mimi na waliotoa hela , kama stori hakuna nitumie hata picha ya khumbu
Haujalazimishwa kuchanga mkuuStori imevutwa vutwa sana, chenga chenga nyingi, sababu kila uchwao, mashart lukuki na sasa hata ile ladha yake hakuna tena, msema ukweli mpenz wa Mungu.
Kwa sasa ungeachia hapa tu iishie hapo ilipoishia lakin haya ya kuomba bundle sijui watu wachangie hela kujishushia credibility,
Haujalazimishwa kuchanga mkuu
Ukweli wapi,changia hata jero jamaa aweke bando acha maneno mengi.Hampendi kuambiwa ukweli,
Khumbu uliefufuka!🤗🤗🤗Kawaacha kwenye mataaaaa halooooo haloooo
Mambo vipi...Khumbu uliefufuka![emoji847][emoji847][emoji847]
Povu lisiwe jingi boss Kubwa, we tajiri okoa jahazi 🤒Mambo vipi...
Naona wote maskini ,mtoa mada na wachangia mada.
Ndo mana nilimpiga chini konda msafi sababu ni fukara wa kutupwa, mpenda mteremko na ana mawazo ya kimaskini.
Sasa story hata haijafika kati kashaanza omba omba hela za bando.
Ooh mara itatokea jina la kampuni.
Kama bando si watu wamemchangia hao watatu....ana japo 5000.
Kwa nn asinunue bando la mwezi......
Umaskini huu utamuuaaa
Hivi kwani mlilazimishwa? We tulia zako kimya subiri a post usome upite vile. Sasa hapa mnataka kufanya mambo yawe mengiNAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
Achana naye, wala asikuumize kichwa.Hivi kwani mlilazimishwa? We tulia zako kimya subiri a post usome upite vile. Sasa hapa mnataka kufanya mambo yawe mengi