Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hivi kwani mlilazimishwa? We tulia zako kimya subiri a post usome upite vile. Sasa hapa mnataka kufanya mambo yawe mengi
Asante kuna watu wana washwa sana[emoji1787][emoji28][emoji28]kwani amelazimishwa kusoma
 
Mambo vipi...

Naona wote maskini ,mtoa mada na wachangia mada.

Ndo mana nilimpiga chini konda msafi sababu ni fukara wa kutupwa, mpenda mteremko na ana mawazo ya kimaskini.

Sasa story hata haijafika kati kashaanza omba omba hela za bando.

Ooh mara itatokea jina la kampuni.

Kama bando si watu wamemchangia hao watatu....ana japo 5000.

Kwa nn asinunue bando la mwezi......

Umaskini huu utamuuaaa
Na wewe kilichokuua nini mama konda msafi😅
 
NAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator

Hayo mambo yalianza kitambo sana hata wewe haujaingia JF, huko kitambo sana na hao moderator walitua kuna mtu anaitwa lara 1 sijui yuko wapi dada wa watu yule.
 
NAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
Uzuri ni kwamba hakuna anayelazimishwa kuchangia
 
NAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
Lkn hujashikiwa nyundo utoe....ulikuwa na uwezo wa kupiga kimya na ku sign out kwa uzi huu..... Wanaotaka wangejua cha kufanya.
 
Habari wakuu? Hii stori nitaimalizia japo kuna baadhi ya watu ustaarabu kwao ni zero. Kuandika stori ndefu kama hii natumia muda wakuu. Kama nilivyosema tokea awali sikutegemee kama ningetumia muda mrefu kuimaliza, nadhani nilikuwa nimei-underestmate. Anyway mniwie radhi, nitaimalizia. Nina majukumu pia jamani. Ila wabongo mbona mnakuwa hivi? Kuna watu nimesoma comments zao kama una roho nyepesi unaachana na stori yenyewe.
 
Achana na watu wajinga mwenyewe nastori Kali sana Ila kulingana na ustaarabu mbovu wa watu sintaweza kuileta hapa pia ukwel ni mvivu sana wa kuandika naweza kukorofishana na watu wote humu
 
Yangu ni hapo hapo msibani hapo kwenye French kiss tu hapo yaani hapo tu ebu ngoja nitaendelea kukumbuka nyingine
daaaam! nimerud kusoma upya....sisi wenye tukuyu kiss inabd tujifunze french aisee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]part ingine alivyoenda gheto kwa msela akakuta wameharibu dirisha jamaaa alikua anahofu khumbu atamaind ila kinyume na matarajio khumbu wala haku worry
...
that was real love

em kumbuka ingine shunie
 
Alirudi enzi ya JK...
Ingekuwa enzi ya JIWE thubutuuu...
Aaaah! Jk yule Mtoto wa chief yule baraka za uongozi zimo tele. Lkn huyu ni mtoto wa mchawi duuu! Hafai nchi imeharibika hapa natafuta chimbo kali ni km ametumwa na shetani
 
Lkn hujashikiwa nyundo utoe....ulikuwa na uwezo wa kupiga kimya na ku sign out kwa uzi huu..... Wanaotaka wangejua cha kufanya.
Hizi Ni njaaa....WAIMBA MAPAMBIO NI WENGI MAANA MNAJIANDAA KUTUNGA STORY ZENU MJE MCHANGIWE HELA YA BANDO[emoji625]
 
Mambo vipi...

Naona wote maskini ,mtoa mada na wachangia mada.

Ndo mana nilimpiga chini konda msafi sababu ni fukara wa kutupwa, mpenda mteremko na ana mawazo ya kimaskini.

Sasa story hata haijafika kati kashaanza omba omba hela za bando.

Ooh mara itatokea jina la kampuni.

Kama bando si watu wamemchangia hao watatu....ana japo 5000.

Kwa nn asinunue bando la mwezi......

Umaskini huu utamuuaaa
😂😂😂😂
Aisee
Taratibu bi kaka
 
Back
Top Bottom