Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Sawa mkuuVizuri kama umeshachanga, basi ngoja mimi nijitolee kuchangia kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuVizuri kama umeshachanga, basi ngoja mimi nijitolee kuchangia kingine
Haya mwingine huyu.Sema nikulipie uendelee kuwa zezeta wa vistory uchwara, yani jinsia ya kike ndio maana hamuishi kutapeliwa na kuibiwa mali zenu kizembe, mnatumiaga makalio kufikiria...jitahdini muanze tumia akili
Daaa!! umenikumbusha, misele yangu paleeee! Lady Blandy ndani ya Bloemfotein.karibu mno na kingdom of Lesotho huko Maseru mole nilikuwa natinga kila week end.Inaendelea
Siku ya mazishi niliamua kutokuhudhuria. Nilimpigia simu nikamwambia aniwie radhi sitaweza kuhudhuria kwenye mazishi, aliniuza kwa nini sitaweza, nikamwambia nina test, akaniuliza test gani hiyo siku ya Jumamosi, nikamjibu chuoni kwetu hadi Jumamosi huwa tunafanya test. Kiunyonge akabidi akubaliane na mimi. Kiukweli sikuwa na test wala nini, niliamua tu kutokuhudhuria mazishi. Sababu iliyonifanya kughairi kwenda msibani, sikutaka kukutana na mzazi mwenzie. Sikutaka jamaa anijue. Nilijua siku ya msiba lazima jamaa anijue hata kama sitatambulishwa maana Khumbu lazima zingetokea moments tungekuwa pamoja, mwenyeji wangu alikuwa ni yeye peke yake hivyo lazima tungekuwa pamoja jambo ambalo jamaa angenijua, hivyo jamaa ingeanza kumpa mashaka kumuona mzazi mwenzie yupo beneti na mimi. Khumbuka nilishaambiwa jamaa bado anamhudumia na anaendelea naye.
Baada ya msiba Khumbu alisafiri, tuliendelea kuwasiliana na aliendelea kunilalamikia kwa nini sikuja siku ya mazishi, na mimi niliendelea kusimamia kuwa test ndio ilikuwa sababu.
Baada ya kama mwezi Khumbu alirudi Durban, aliendelea kukaa pale pale kwenye nyumba ya bibi ake na ndugu zake wengine waliokuja kuishi hapo. Maisha yaliendelea, Khumbu aliendelea kutokupatikana kama ilivyokuwa huko nyuma.
Mwaka wangu wa kwanza chuoni kuna module moja sikuisajili, hivyo kila mwaka nilikuwa nabakiwa na module moja ambayo ilipelekea kumaliza chuo mwaka wa nne badala ya mwaka wa tatu. Iko hivi, kila module ina prerequisite yake. Kwa mfano huwezi kusoma economics ya mwaka wa pili kama kuna module ya economics ya mwaka wa kwanza hujaisoma. Kwa hiyo kila mwaka kuna module moja ilikuwa inabaki nyuma. Nilikuja ku-graduate mwaka wanne semester ya kwanza kwa sababu ya somo moja tu tena module moja iliyokuwa inabaki.
Ule mwaka wa nne niliamua kuanza kutafuta kazi kwa sababu nilikuwa nimebakiza somo moja tu tena module moja kugraduate. Hilo somo lilikuwa rahisi sana kwangu, nilikuwa nalimudu bila hata kuingia darasani. Mungu akabariki nikapata kazi shemu moja inaitwa Bloemfontein, ni jiji ambalo liko katikati ya South Africa, province moja inaitwa Free state. Maisha yakabadirika yakawa matamu. Nikawa naenda chuoni kila kunapokuwa na test tu, darasani nikawa siingii tena. Nikawa na mawasiliano ya karibu na wanafunzi wenzangu kuniupdate chochote ambacho kingehitaji uwepo wangu personally. Hivyo siku za test nikawa napanda basi kwenda Durban. Kama test let’s say ni kesho. Leo jioni napanda basi, alfajiri nishafika tayari na kwenda darasani. Baada ya test napanda tena basi kurudi Bloemfontein.
Huko Bloemfontein kuna watoto wa kisutu wakali balaa. Wana maumbo ya kutoa udenda, nadhani kwa South Africa kabila linaloongoza kwa watoto wazuri ni la kisutu likifuatiwa na waxhosa na wazulu. Kuna mmoja nilianza kumdate kunipunguzia machungu ya Khumbu. Mie sinywi pombe wala kuvuta sigara kwa hiyo starehe yangu ilikuwa watoto wa kike tu, na ukizingatia tayari nimeshapata na kazi inayoniingizia kipato ilikuwa full burudani. Nina wasiwasi kama sijaacha mtoto huko Bloemfontein maana huyo mwanamke nilikuwa napiga karibia kila siku.
Nilipopata kazi nikamjulisha Khumbu. Alifurahi sana, tukapanga mipango ili aje Bloemfointein anitembelee.
Itaendelea
Mkuu watoto wa kisutu ni hatari. Kuna mmoja nilimpata alikuwa anasoma pale Free state university of technology nilikuwa nikimfuata hapo chuoni kwakwe nakutana na vifaa hivyo utadhani malaika. Watoto wanajua kuvaa, acha kabisa. Wana viuno vyembamba kama nyingu. Huwa dhamira inaniambia kule niliacha damu yangu.Daaa!! umenikumbusha, misele yangu paleeee! Lady Blandy ndani ya Bloemfotein.karibu mno na kingdom of Lesotho huko Maseru mole nilikuwa natinga kila week end.
Palee!! mitaa ya Kubhtsoana.western maseru, Hapita.quachasnake. Qeen Mamhato loool bin Duuu!!!
ndo zilikuwa mitaa zangu mpaka nikajua kisotho ni patamu usipime.
Na kweli bana wale wamechongwa utadhani si watu. Halafu haikuwa rahisi kujua mimi siyo Msotho. Tulifanana sana.
tukikutana na wenyeji Njiani hawanisalimii kiinge no. wananisalimia
"Dumela" hujwang" uswakae! basi naiitikia kiulainiii!!! Hawakujua mie mbongo. Kwa mbongo
Zile kugha ni rahisi tu ukitaka.
Sasa nakuuliza Mkuu baba pale Blomfotein kuna chuo cha medicine je nita mudu maisha ya kusoma na kufanya vibarua nikajaribu? Hali ikoje kwa hilo mkuu tafadhali nakuomba.
af majina yao km ya kiswahili tu . Mpho, lebhu.tatho, matabho, Tante mughuti (baba mchungaji)Mkuu watoto wa kisutu ni hatari. Kuna mmoja nilimpata alikuwa anasoma pale Free state university of technology nilikuwa nikimfuata hapo chuoni kwakwe nakutana na vifaa hivyo utadhani malaika. Watoto wanajua kuvaa, acha kabisa. Wana viuno vyembamba kama nyingu. Huwa dhamira inaniambia kule niliacha damu yangu.
Haya mwingine huyu.
yaaani kukuzaa weye ukapita pale mahala salama ukaijua Dunia. Leo
Umekuwa mtu wa ku type unacho type leo sababu ya jinsia ya kike unasema haya? Kweli?
Wangapi wali-abortiwa tena maksudi vikiwa vichanga sababu Ya chuki tu za mama zao? na hawakujaliwa kutolewa salama? Sitaki kusema ulistahili...
Omba samahani kabla hazija kulaani hizo ndude! Ni mbaya sana zikikugeuka.
Dunia nzima wenzako rijali wana zienzi jinsia hizi Nenda temeke Hosp. Ward zote za wanawake ni nzuri na safi ajabu
Linganisha na za wanaume utatapika. Hutarudia ujinga huu!
Hutapata ke yeyote eti akuzalie ukiwa na kiburi cha kutojirudi hivi km unabisha subiri kazana.
Huruma zao unawahukumu? Unawaita majina mabaya hivi ?sababu maku hizo zmeikulea?
,Me yeyote Duniani aliye pata kazi nzuri.pesa, utajiri, Cheo, mafanikio nyuma yake kuna ke, makini Chunguza!!
Walioacha hao ke zao sababu ya kiburi chao cha mafanikio km wewe waliipata fresh.daima dumu hawakurudi kwenye mstari. Yuko wapi komandoo wa zanzibar?? Hajafa yule!
Nyerere aliheshimu Sana unaona yuko kwa mstari mpaka kesho
kuna waliogundua mapema wakaangukia walibaki salama. Sasa wewe endelea upotee!
Hukufunzwa vizuri nadhani rudi nyuma ukaulize usione aibu ndo salama yako!
Ungewataja kwa staha! Bila shaka wewe kurya kutoka huko maji moto ndo zenu!
Mmeshawekewa story ya uzinzi, mnayoojifanya mnajiheshimu kumbe ni uzinzi mnang'ang'ania, huwa mkiambiwa ukweli mnakimbilia hbr za kuzaliwa miezi 9 tumboni, hapa forum sibishani na mamaa yangu naongeaa na nyie mnaogombania story za ngono mnatakaa niwaheshimu, aliyenizaa hana muda na upumbavu kama huu wenu, konda amerudi, kuwaendelezea porn story...mmefurahiiiiii????Kama laaana unayo aisee..mana kwenye matusi yako umemjumuisha na mama yako aliyekuzaa miezi 9 amekutunza tumboni, leo shukrani yako ni unamtukana. Hongera mkuu na pole.
Sema mbona tunaskia huwa hawatawazi kwa mpalange?af majina yao km ya kiswahili tu . Mpho, lebhu.tatho, matabho, Tante mughuti (baba mchungaji)
Unaona sasa ntate kikurya ni tata)
Ng'wana allaa=mwana alia.
Tuliza ng'wana=tuliza mtoto yaani rahisi haiitaji umakini saana kuijua
Mkuu nijibu baba shulee ya medicine huko Bloemfotein vipi?
Je unajua chochote nikajinoe?
Hayo ndio madhara ya kujifanya mjuajiBut still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mkuu acha ufala basi. Usijifanye una akili kuzidi watu wote humu. Jaribu kuwa mstaarabu hata kidogo.Mmeshawekewa story ya uzinzi, mnayoojifanya mnajiheshimu kumbe ni uzinzi mnang'ang'ania, huwa mkiambiwa ukweli mnakimbilia hbr za kuzaliwa miezi 9 tumboni, hapa forum sibishani na mamaa yangu naongeaa na nyie mnaogombania story za ngono mnatakaa niwaheshimu, aliyenizaa hana muda na upumbavu kama huu wenu, konda amerudi, kuwaendelezea porn story...mmefurahiiiiii????
Kumbe Khumbu alipokimbia alipanda taxi mpaka workshop. Kutoka sehemu niliyokuwa naishi hadi workshop ni kama dakika 15 tu kama hakuna foleni. So Khumbu alipofika pale akawa anamweleza mshikaji eti nilikuwa nataka kula mambo wakati yupo kwenye breed, eti nilikuwa nabehave as if nimechanganyikiwa hivyo akaona isiwe kesi bora akimbie. Yote yalikuwa uongo tu na mpaka leo sijawahi kuelewa kwa nini alikimbilia workshop kwenda kuongea huo uongo. Anyway jamaa nikamwomba akifunga goli aje geto anipe ushauri kabla sijachukua maamuzi mabaya zaidi. Jioni jamaa alikuja akanishauri nini cha kufanya.
Kusema kweli kile kitendo kiliathiri sana, hadi performance yangu darasani ilishuka. Mwaka wa kwanza nilipata tuition fee remission kwa sababu ya kiwango cha juu cha ufaulu. Lakini mwaka wa pili ambapo hili tukio lilifanyika nilianza kupata max za kufaulu, nilikuwa na stress hatari. Nilikuwa najitahidi kumsahau Khumbu lakini wapi?
Ilichukua kama miezi kadhaa kabla hatujaanza tena kuwasiliana na Khumbu.
Tukio linalofuata nitaelezea nilipokutana na Khumbu akiwa na msela.
Karibu mzeeDaaah kweli SA sio mchezo kunanifaa kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
Labda ni njia Moja WaPo ya kujikinga pindi akikutana na Mjuba anaependa kuzibua Mtaro.Sema mbona tunaskia huwa hawatawazi kwa mpalange?
Watu tunakula madem wakali kwa kfc ya rand 35 itakuwa 50 mkuu?huku hela inathamani mkuuRand 50 mbona pesa ndogo au typing error
NAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
Hata huko Tz Bara hawana mpango na makopo ya kutawadhia chooni kabisa kabisa!aaSema mbona tunaskia huwa hawatawazi kwa mpalange?
Tuheshimiane bro,hunijui sikujuiYani wanawake sijui mnawazaga nini, ndio maana ninyi ndio mnaongozwa kutapeliwa kila kona kwa ajili ya kufikiria kwa kupitia makalio, wanaosema ukweli ni wanaume na wanatumia akili kufikiria sio ninyi mnasema mkitapeliwa poa, daaah siku ingne tumia akili bhana wanawake hata kipisi cha kanga mmeshaonga kura, huko makanisani ndio mtatajirisha watu...lala kidg