Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Hivi huyu utakuta hata hela ya bando hajatuma.Kwa hiyo kama mtu yupo busy aache kazi zake aje akufurahishe wewe? Umemlipa shilingi ngapi? Sio unalalamika tu wakati anatumia bundle lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu utakuta hata hela ya bando hajatuma.Kwa hiyo kama mtu yupo busy aache kazi zake aje akufurahishe wewe? Umemlipa shilingi ngapi? Sio unalalamika tu wakati anatumia bundle lake.
Kabisa. Mijitu ya namna hii haina uungwana hata kidogo. Ukute hata bando haijachangia.Hivi huyu utakuta hata hela ya bando hajatuma.
Nani aliwafundisha kula nauli hawa viumbe...Nadhani yamebaki matukio manne tu kulingana na ule muainisho niliouweka siku zile za mwanzo mwanzo. 1. Khumbu kula nauli. 2. Kutishiwa kupigwa risasi. 3. Siku ya kuagana naye/siku ya kurudi Bongo. 4. Kifo chake. So, nitajitahidi yote hayo niyamalize Jumatano. Kama kuna tukio nimelisahau kwenye ule muainisho mnikumbushe.
Great..nilikua offline kwa wiki sasa..leo nmemaliza kusoma story na comments zote..very interesting thread.Nadhani yamebaki matukio manne tu kulingana na ule muainisho niliouweka siku zile za mwanzo mwanzo. 1. Khumbu kula nauli. 2. Kutishiwa kupigwa risasi. 3. Siku ya kuagana naye/siku ya kurudi Bongo. 4. Kifo chake. So, nitajitahidi yote hayo niyamalize Jumatano. Kama kuna tukio nimelisahau kwenye ule muainisho mnikumbushe.
Hatutaki bna
WamekimbiaMnao taka stor imalizwe mmetoa buku buku?
uzi umesimama hahahaha watu hawadai tena mwendelezo kisa buku hahahaha mi ntakufa aseeh kwa kucheka ivi ndo maisha magumu hivi ama na karoho mbaya kamo jumlisha kupenda kitongaWamekimbia
kijana tuliauzi umesimama hahahaha watu hawadai tena mwendelezo kisa buku hahahaha mi ntakufa aseeh kwa kucheka ivi ndo maisha magumu hivi ama na karoho mbaya kamo jumlisha kupenda kitonga
hahaha mkuu buku imefanya uzi upooze hivi ama.tumuombe Nyani Ngabu atulipie tuendelee piga kelele kuomba mwendelezo.kijana tulia
Si unaenda tu kwa wakala mkuu..Issue sio kushindwa kutoa buku, issue ni ku expose identities zetu
Matajiri wa JF wamekimbia na magari yao.Jf kila mtu ana gari ila baada ya mtoa Uzi kutaka achangiwe hata buku ya bundo, Wote wamekimbia na magari yao...
Angesema hivyo toka awali kwamba mazee nina story, naileta humu ila mtachangia. Alichofanya yeye akaleta story kama story zingine, watu wakafurahia wakamsifia akalewa sifa akaanza sasa kudelay mara kachoka, mara yuko busy mara ikaletwa namba atumiwe hela ili ubize na uchovu uishe, watu wakaona miyeyusho kumbe wakapotezea na sasa haina mwamko tena wala watu hawana muda mchafu baada ya kusoma mchezo. Epuka sana wale watu wanaokuja inbox kukujaza ujinga aisee, wamo humu anakujaza ujinga unajiona tajiri balaa, oooh mm kwa sasa niko USA nadeal na uwandishi wa vitabu pia niko attached na oxford kwa mana hiy9 ile story yako ukikubal tuiweke katika vitabu utauza copy nyingi sana hapo Tanzania, east africa na ebay. Wakishakuvuruga hivyo unaviiimba kumbe wapuuzi tu.Jf kila mtu ana gari ila baada ya mtoa Uzi kutaka achangiwe hata buku ya bundo, Wote wamekimbia na magari yao...
Jf kila mtu ana gari ila baada ya mtoa Uzi kutaka achangiwe hata buku ya bundo, Wote wamekimbia na magari yao...
Mzee baba, konda msafi, nakukubali sana na uwezo wako wa kujibu mapovu bila kuwa disrespectful. Hongera bro, nkiwa mkubwa nataka niwe kama wewe na khumbu juu. Ngoja nitafute mkoba niende Durban hata 2 weeks holiday watanielewa mbona!![emoji28]Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
Waambie warudi tumewatolea tayari 😅Matajiri wa JF wamekimbia na magari yao.