Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kwa hiyo kama mtu yupo busy aache kazi zake aje akufurahishe wewe? Umemlipa shilingi ngapi? Sio unalalamika tu wakati anatumia bundle lake.
Hivi huyu utakuta hata hela ya bando hajatuma.
 
Nani aliwafundisha kula nauli hawa viumbe...
Khumbu nae alikula nauli!! ,[emoji28][emoji28]
 
Great..nilikua offline kwa wiki sasa..leo nmemaliza kusoma story na comments zote..very interesting thread.

#MaendeleoHayanaChama
 
umaskini k**** ny*k buku imewatoa watu mbio, imewafunga midomo hawadai tena mwendelezo hahahaha

kila siku wanaulizana umemiliki nyumba,gari ukiwa na umri gani wanasema miaka 20 mara 22 leo konda,katuumbua tumebaki mlaumu anaringa hahahaha.

95% humu tuna maisha magumu na roho mbaya (roho za kimaskini)

konda tuhurumie, tusaidie tu kutupa stori unavyoona tunakulalamikia ni kwa sababu ya umaskini wetu
 
Issue sio kushindwa kutoa buku, issue ni ku expose identities zetu
 
Jf kila mtu ana gari ila baada ya mtoa Uzi kutaka achangiwe hata buku ya bundo, Wote wamekimbia na magari yao...
Angesema hivyo toka awali kwamba mazee nina story, naileta humu ila mtachangia. Alichofanya yeye akaleta story kama story zingine, watu wakafurahia wakamsifia akalewa sifa akaanza sasa kudelay mara kachoka, mara yuko busy mara ikaletwa namba atumiwe hela ili ubize na uchovu uishe, watu wakaona miyeyusho kumbe wakapotezea na sasa haina mwamko tena wala watu hawana muda mchafu baada ya kusoma mchezo. Epuka sana wale watu wanaokuja inbox kukujaza ujinga aisee, wamo humu anakujaza ujinga unajiona tajiri balaa, oooh mm kwa sasa niko USA nadeal na uwandishi wa vitabu pia niko attached na oxford kwa mana hiy9 ile story yako ukikubal tuiweke katika vitabu utauza copy nyingi sana hapo Tanzania, east africa na ebay. Wakishakuvuruga hivyo unaviiimba kumbe wapuuzi tu.

Sasa walimvimbisha huyu jamaa kichwa atakoma kuwafahamu
 
Jf kila mtu ana gari ila baada ya mtoa Uzi kutaka achangiwe hata buku ya bundo, Wote wamekimbia na magari yao...

ni kawaida ndio mana mwanaume anaweza akamhonga mwanamke hela nyingi ila hawez kumsaidia mwanaume mwenzie, watu ha hivyo wapo wengi na hii tabia haijalish awe na gari au asiwe na mali
 
Mzee baba, konda msafi, nakukubali sana na uwezo wako wa kujibu mapovu bila kuwa disrespectful. Hongera bro, nkiwa mkubwa nataka niwe kama wewe na khumbu juu. Ngoja nitafute mkoba niende Durban hata 2 weeks holiday watanielewa mbona!![emoji28]

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…