Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hapana niyeye mwenyewe maana jamaa ni rafikiyangu sana tu na sisi ndio tulimpa hiyo connection ya RFA.
 
Ngumu kumeza.. 😄
 
Hapana niyeye mwenyewe maana jamaa ni rafikiyangu sana tu na sisi ndio tulimpa hiyo connection ya RFA.
Ni kweli ni yeye mwenyewe maana kuna kitu anasisitiza mara kwa mara kuwa ni Mtumishi wa Mungu.
Kosa atakalofanya ndio nimemuonya ndugu yangu konda msafi asilifanye
usiwaambie wasomaji wakuchangie halafu kesho ukaenda kuitoa free kwenye vyombo vya habari km Redio Free Afrika, ingawa hiyo sio ile aliyotuchangisha Telegram​
LWANDA MAGERE yupo humuhumu JF atapata tamaa tu ya kuitoa na hiyo ya uchawi wa Congo wa kutoa kafara ya damu ambayo katuchangisha.​
konda msafi km hapa pesa haitoshi usiende RFA bora waliokutumia mchango wawekee kwenye IN BOX zao maana wamesema hawafiki Member wa5​
sisi bahili malizia hiyo jumatano ndipo tutakapoona umuhimu wa kumjaza mwandishi muds ns bundle anazopoteza.​
 
Hii chai

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni msema ukweli, inaonekana hata shuleni ulikuwa unatumwa na wenzako usimame uwasilishe hoja zao au maoni yao! Hiyo hali umekua nayo naona had ukubwani.

Jamaa alilewa sifa, gafla akaona ikiwa thread ina visitor 5000 na zaidi nikiwaambia wachangie buku buku nina milion tano, hahaa Basi akaanza kudeka kama ulivyo sema,

Akaona ajivute ili reply za kumuomba zifike elf 5 naona watu wameishapuuza na kuendelea na issue zingine.

Hivyo basi
Lengo la hela limekwama na lengo la kubembelezwa limekwama.

Bora atuhamishie instagram sijui telegram tutachangia elfu kumi huko,

Nimesema yale wanaosema hatuna hela nyuma ya keyboard waendelee kutoa povu
 
MKUU HAYO YOTE ULIOYAANDIKA NI UKWELI MTUPU....
Kuanzia alipoanza na swala la kutumiwa hela ya bando niliona kabisaa hamna kitu hapa...
Haingiii akilini story uilete mwenyewe alafu watu wakuchangie Vocha...
Sambamba na Hilo Kuna watu walitetea etii...[emoji1787]
 
Acha nikujibu tu. Nimekuona muda mrefu umekazana kuongea upuuzi. Hivi umelazimishwa kusoma huu uzi? Wewe kama huwezi kuchangia kaa kimya. Acha kunilisha maneno. Hakuna sehemu nime-demand mchango ili stori iindelee. Stori itawekwa hapa utasoma bure kama bado uko interested. Hakuna sababu ya kujifanya unajua sana kuongea. Wewe ungekuwa South Africa na huo mdomo wako kama mwanamke ungeshaliwa kichwa kitambo.
 
Mkuu mbona kama una shida kichwani? Kwani umeniajiri kuandika hii stori? Mambo mengine unakaa kimya tu kama unaona hayakupendezi.
 
konda msafi njoo huku tumemmisi khumbu wetu
Kesho kutwa mzee namaliza kazi, ila kuna watu wana mambo ya kibwege kweli. Hata kama unajitahidi kuwavumilia lakini inafikia stage unaamua kuwajibu tu maana wanakuchukulia poa sana. Stori nimeilata mwenyewe kwa hiari yangu, that means nina uwezo wa kuachana nayo kwa hiari yangu pia. Sasa humu kuna watu wanaongea upuuzi mwingi mpaka nimeamua kuwajibu. Sikutaka kujibishana nao ila nimeona wanataka kunipanda kichwani.
 
Nahisi j5 utakapo toa mwendelezo ntakuwa nje ya mtandao naomba uhairishe utoe mwendelezo ijumaa mkuu konda msafi
 
Mkuu,sasa siku nyingine tumia nguvu hii hii kupambana ili upate hela! Ushauri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…