Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hapo ulipo fikia dalili hazikua nzuri kama ulipakwa mafuta usisite kutuambia pia
 
IMG_2691.JPG
Vile ninacheck kwa mbaaali kama kuna muendelezo wa stori pendwa ila sasa unakuwa mpole ukikumbuka kuna mchango wa bundle 🤣🤣🤣 unatamani kuulizia mzigo unakuja saa ngapi ila sasa ukikumbuka kuna mchongo wa buku buku unakuwa mpoleeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapana sio typing error mkuu. Hiyo ndio bei ya bao moja kwa wale wanaojiuza kwenye night club au bar. Tena anakupeleka chumbani kwake kwa hiyo hiyo rand 50. Labda iwe imepanda kwa sasa maana nimeondoka kitambo.
NI SAWA,HAPA BONGO KWA VIBANDA UMIZA UNAINGIZWA CHUMBANI KWA RAND 20...aka Tsh 3,000 hivi. pale sudan,buguruni nk
 
View attachment 1710866 Vile ninacheck kwa mbaaali kama kuna muendelezo wa stori pendwa ila sasa unakuwa mpole ukikumbuka kuna mchango wa bundle 🤣🤣🤣 unatamani kuulizia mzigo unakuja saa ngapi ila sasa ukikumbuka kuna mchongo wa buku buku unakuwa mpoleeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂 😂 😂 😂 😂

Salamu toka nchi jirani ✌️
 
Nimeona kwa heshima ya konda msafi tutunishe mfuko hapo, walau story ikiisha nae aburudike mazee kama sisi tunavoburudika na simulizi au mnasemaje wakuu. Namba ipo hapo juu

"Ukipewa nawe toa"

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni tamu sana ( kuna Mwanamke mwenzetu unaambiwa anakata kiuno kama anakung'uta siafu[emoji23]).

Tatizo ni kwamba Mwandishi hajaimalizia hadi sasa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadadeki

Miuno kama siafu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Pole sana mkuu

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom