[emoji3][emoji3][emoji3] sijawahi kula eti.Rafiki ulishakula nauli mara ngapi?[emoji1][emoji1][emoji1]
NI SAWA,HAPA BONGO KWA VIBANDA UMIZA UNAINGIZWA CHUMBANI KWA RAND 20...aka Tsh 3,000 hivi. pale sudan,buguruni nkHapana sio typing error mkuu. Hiyo ndio bei ya bao moja kwa wale wanaojiuza kwenye night club au bar. Tena anakupeleka chumbani kwake kwa hiyo hiyo rand 50. Labda iwe imepanda kwa sasa maana nimeondoka kitambo.
Ulishatuma mchango wako?
😂 😂 😂 😂 😂View attachment 1710866 Vile ninacheck kwa mbaaali kama kuna muendelezo wa stori pendwa ila sasa unakuwa mpole ukikumbuka kuna mchango wa bundle 🤣🤣🤣 unatamani kuulizia mzigo unakuja saa ngapi ila sasa ukikumbuka kuna mchongo wa buku buku unakuwa mpoleeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadadeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni tamu sana ( kuna Mwanamke mwenzetu unaambiwa anakata kiuno kama anakung'uta siafu[emoji23]).
Tatizo ni kwamba Mwandishi hajaimalizia hadi sasa..
Pole sana mkuuHabari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Hatari sana.. Ni mwendo wa kukung'uta siafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadadeki
Miuno kama siafu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna miuno mingine inaitwa"kama ya paka shoga"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadadeki
Miuno kama siafu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unawezana vizuri tu kukung'uta..si ndio?Hatari sana.. Ni mwendo wa kukung'uta siafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana.. Ni mwendo wa kukung'uta siafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana...Mambo ya khumbu hayoUnawezana vizuri tu kukung'uta..si ndio?
Sijaanza bado.. Nisije kuteng'uka kiuno.[emoji23]Umeshaanza mazoezi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndiyo ipoje?Kuna miuno mingine inaitwa"kama ya paka shoga"
Yale ya kawaida,sema taratibu..kulia kushosho kulia kushoto[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndiyo ipoje?