Inabidi konda msafi akaiandikishe BASATA iwekewa haki miliki.Hii story bongo movie sasa hivi wataundia sinema au episode
Hao bongo movie pesa wanayo?Hii story bongo movie sasa hivi wataundia sinema au episode
Hao bongo movie pesa wanayo?
Umetuma ya bundle lakini mkuu?Kongole sn konda msafi kw kufanya tuenjoy na stry yk
Hahaha...mimi navuta picha ya tako linalotaka kuanguka 😀😀Najaribu kuchora picha kichwani ni vipi siafu anakung'utwa on bed 🤒
Uliyenitumia hii link pitia na mchango wangu
Ilo mbona rahisi kuchoreka.Hahaha...mimi navuta picha ya tako linalotaka kuanguka 😀😀
Nitaweka mkuu.Safi Sana mkuu sikutarajia kama leo jumapili ungeandika story
Weka basi na zingine mkuu
Nimetuma mkuuUmetuma ya bundle lakini mkuu?
Depal unajua kukung'uta siafu?Ilo mbona rahisi kuchoreka.
Hapo poa mkuu. Tuko pamoja.Nimetuma mkuu
Najua, we hujui?Depal unajua kukung'uta siafu?
Najua
Tuma kwanza PESA/VOCHA ...acha kupenda vya mteremko!Nasisitiza tu picha ya Khumbu.Hakikisha unatuma inayoonesha msambwanda vizur.
Story ikiisha bila pcha yake itakuw ni matumizi mabaya ya hii story