Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

konda msafi kutokana na hii sehemu ya mwisho uliyoweka inaonekana (kutokana na mtazamo wangu) hisia zilikutawala kurudi nyumbani hayakuwa mawazo pevu kwani tayari ulikubalika kwenye hiyo kampuni na huyo director alijaribu kukusaidia kwa mawazo.

Na kitu kingine ulipata marafiki wazuri kama kina Sandile na hao ndugu zako wa Workshop ambao tayari ungeamua kufanya maisha yako huko ya kudumu , Nyumbani ungekua unaenda kusalimia tu na kama nitakua nakosea unisamehe mkuu lakini naweza sema kwasasa unajutia hayo maamuzi ndiyo yaliyopelekea kuandika huu uzi ili watu wajifunze.Ukizingatia na hali ya uchumi huko Tanzania kwa sasa pamoja na janga hili la korona.

Maisha si lazima ufanye nyumbani na kwa takwimu wengi wao ambao hufanikiwa ni wale wanafanya maisha mbali na nyumbani kwao.

Nimejifunza sana hapa kuwa USIKUBALI KUFANYA MAAMUZI YA MAISHA UKIWA NA 'EMOTIONAL THINKING' kuna kipindi nikiwa chuo nilitaka kuharibu maisha kwa mwenendo wa hisia za mapenzi.

Mytake: Ukipata nafasi ya kutoka nje ya mipaka ya nchi hakikisha unapambana huko unawekeza kidogo lakini nyumbani unawekeza vya kutosha kwa ajili ya kusaidia ndugu,jamaa na marafiki na itakusaidia pia hata ukiamua kurudi nyumbani.


Cheers!!
 
Kabisa mkuu. Ningendelea kubaki South africa ningekuwa mbali sana kimaisha. Sasa hivi kila nikreflect back naona nilifanya maamuzi based on emotion. Kuna fursa nyingi sana niliziacha kwa sababu I was irrational. Of course hata huku bongo niliweza kusoma na kupata CPA. I'm a CPA holder from NBAA lakini nadhani ningekuwa South Africa ningekuwa mbali mno.
 
Siku nilipoondoka tulionana na tuliagana. Kuhusu msiba nitaelezea kwa kirefu maana stori bado haijaisha.
ila konda u are the pain that is sweet yani unazunguuka ila basi ndo addiction imekuwa sasa nimejipromise kukublok hereafter nisisome simulizi yako yoyote tena ikiisha hii
 
ila konda u are the pain that is sweet yani unazunguuka ila bad ndo addiction imekuwa sasa nimejipromise kukublok hereafter nisisome simulizi yako yoyote tena ikiisha hii
Sitaleta simulizi yoyote zaidi ya hii. This is a reflection on my life.
 

Sijapapenda hapo pa kumthaminisha dada wa sinza kupitia dogo[emoji276]
 
Sijapapenda hapo pa kumthaminisha dada wa sinza kupitia dogo[emoji276]
Dada wa Sinza nilikutana naye kati ya 2007 au 2008, tena kesho yake ndio nilikuwa nasafiri kurudi SA. Mawasiliano niliyafufua 2012 so unaweza kuona muda gani ulikuwa umepita, na kama unavyojua wanawake mnavyobadirika kimaumbile fasta, pia wasiwasi uliongezeka alipokataa kutuma picha.
 
Hiyo story ya amina ndiyo vile vipande kwenye movie na pelekaga mbele nataka kusikia story ya khumbu tu na maisha ya bondeni kwa ujumla
Huyo Dada wa Sinza na Amina nao Wana story yao katika uzi mwingine kabla ya huu Kaka. So ukiwasoma ndo utaelewa kwenye huo uzi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…