Nadhani jamaa anamahanisha miaka iyo aliyokuwa South, sasa ivi sidhani kama wanauitaji wa hao waalimu
Sina connection mkuu. Yeye aende kihalali tu kisha akifika kule atapata njia ya kuingia kwenye system ya kishuleshule.
Unawajibu nimekuja kutaliMfano unataka kwenda kihalali , ukifika kwenye mamlaka wakakuuliza unaenda kufanya nn, unajibu nn???
Muulize huyo uliye muweka profile anajua vizuri sana.unalitaka au unalo la hivo, kundu la haja.
We panda ndege ukiwa na passport ya Tanzania visa free kuingia GhanaOk sawa nimekuelewa,.
Sema nafikiria kuibuka Ghana, mwenye Raman ya namna ya kufika huko anipatie
We panda ndege ukiwa na passport ya Tanzania visa free kuingia Ghana
yaani ungempiga limbwata la kizigua atulie tuli. Asizuzuke na ma bishoo wa mjini.unaenda hapo tu kwenu bagamoyo hapo si mbali unaongea na wazee kwa heshima zote tu.Hebu fafanua kidogo hapa.
ongea sana na wazee wa uswazi uswadharauLibwata la kiumeni likoje?
Sidhaniyaani ungempiga limbwata la kizigua atulie tuli. Asizuzuke na ma bishoo wa mjini.unaenda hapo tu kwenu bagamoyo hapo si mbali unaongea na wazee kwa heshima zote tu.
Hawakutupi kamwe.
Ni imani tu. Hakuna mambo kama hayo.ongea sana na wazee wa uswazi uswadharau
Lugha ya Kiswahili umeijulia wapi?Mimi ndie mzazi mwenzake na khumbu
Mimi ni opareta wa mashine... Folk lift na reach steacker..... Vipi maisha ya huko kwa fani hiyo? Asante...Sawa mkuu. Kiufupi South africa imejengeka sana kimiundo mbinu. Sijawahi kufika Ulaya au Marekani lakini nimeishi na watu wa hayo mataifa nilipokuwa Johannesburg. Kuna jamaa mmoja ana asili ya kieritrea ila anaishi Canada na ni raia wa Canada tulikuwa tunafanya kazi wote pale kwenye taasis ya kidini, na pia kuna wamerekani tulikuwa nao pale. In fact kuna raia kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya nimefanya nao kazi na wote hao wanasema South Africa haina tofauti na Ulaya au Marekani. Hakuna kitu utakipata Ulaya au Marekani usikipate South Africa. Huyu jamaa mwenye asili ya Eritrea alikuwa mhuni mmoja hivi. Kila weekend tulikuwa tunaenda downtown Johannesburg club au live band. Katika kupiga piga stori naye nilikuwa namwambia dhamira yangu ya kwenda Marekani lakini yeye akawa ananiambia nikae tu South africa, anasema South africa is the best country, sina haja ya kuondoka, kilichopo Marekani ndio kilichopo hapa. Tena alikuwa anasema UK huenda hata ikazidiwa na SA maana huko majengo yao ni ya kizamani ukilinganisha na majengo ya kisasa ya SA. Huyo jamaa ana ndugu zake wa damu Europe hivyo anaijua vizuri europe.
Kwa upande wa maisha, maisha ya South africa ni marahisi kama una elimu. Kwa foreigner kama upo vizuri kwenye masomo ya science na hesabu ukienda SA unakula shavu fasta la kufundisha shule za secondari. Kule kuna upungufu wa walimu wa masomo ya science na hesabu. Kuna rafiki yangu mkameruni tulikutana naye pale kwenye taasis ya dini alikuwa vizuri kwenye hesabu. Yeye alikuwa na degree ya economics. Alipata kazi ya kufundisha hisabati kwenye shule ya serikali Johannesburg. Alianza kufundisha huku pia akaanza kusoma masters. Sasa hivi yuko Marekani anaishi huko. Kaondoka mwaka Juzi South africa. Alisoma mpaka akapata Phd, huwa namuona facebook akitupia picha akila good time in the US. Nadhani alipata kazi kubwa sana huko US iliyomfanya aondoke SA.
Kwa wabongo wanaozamia SA bila kuwa na elimu yoyote wanaishi maisha ya kuunga unga sana. Wanaofanya kazi halali ni wale wanaoamua kuuza matunda na pipi mitaani. Maisha yao ni magumu tu. Wengine ambao hawataki kufanya kazi halali na wanaotaka mafanikio ya haraka ni hao wanaouza unga, waganga wa kienyeji na wezi. Wauza unga wana hela chafu na wanaishi maisha ya kifahari sana. Waganga wa kienyeji nao wanapiga pesa sana (utapeli). Wezi nao wanapata vihela, wanaendesha magari ila huyo mwizi unaweza ukamkuta leo anaendesha gari la kifahari lakini kesho ukamkuta analala nje, amekosa hata hela ya kuchangia chumba. Wabongo wengine ndio hao mabaharia wapanda meli. Wao ni kutembea na vibegi mgongoni na kwenda kunyatia meli ili wazamie. Hao utawakuta wamejaa Durban na port moja inaitwa Richardsbay. Hao ni wachafu hatari. Wanalala parking, wapo standby kudandia meli, sehemu wanazolala ukienda kukaa lazima utoke na chawa.
Kipande hiki kina huzunisha kiasi Fulani hasa Ukizingatia Unaondoka Kwa majonzSawa mkuu. Kiufupi South africa imejengeka sana kimiundo mbinu. Sijawahi kufika Ulaya au Marekani lakini nimeishi na watu wa hayo mataifa nilipokuwa Johannesburg. Kuna jamaa mmoja ana asili ya kieritrea ila anaishi Canada na ni raia wa Canada tulikuwa tunafanya kazi wote pale kwenye taasis ya kidini, na pia kuna wamerekani tulikuwa nao pale. In fact kuna raia kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya nimefanya nao kazi na wote hao wanasema South Africa haina tofauti na Ulaya au Marekani. Hakuna kitu utakipata Ulaya au Marekani usikipate South Africa. Huyu jamaa mwenye asili ya Eritrea alikuwa mhuni mmoja hivi. Kila weekend tulikuwa tunaenda downtown Johannesburg club au live band. Katika kupiga piga stori naye nilikuwa namwambia dhamira yangu ya kwenda Marekani lakini yeye akawa ananiambia nikae tu South africa, anasema South africa is the best country, sina haja ya kuondoka, kilichopo Marekani ndio kilichopo hapa. Tena alikuwa anasema UK huenda hata ikazidiwa na SA maana huko majengo yao ni ya kizamani ukilinganisha na majengo ya kisasa ya SA. Huyo jamaa ana ndugu zake wa damu Europe hivyo anaijua vizuri europe.
Kwa upande wa maisha, maisha ya South africa ni marahisi kama una elimu. Kwa foreigner kama upo vizuri kwenye masomo ya science na hesabu ukienda SA unakula shavu fasta la kufundisha shule za secondari. Kule kuna upungufu wa walimu wa masomo ya science na hesabu. Kuna rafiki yangu mkameruni tulikutana naye pale kwenye taasis ya dini alikuwa vizuri kwenye hesabu. Yeye alikuwa na degree ya economics. Alipata kazi ya kufundisha hisabati kwenye shule ya serikali Johannesburg. Alianza kufundisha huku pia akaanza kusoma masters. Sasa hivi yuko Marekani anaishi huko. Kaondoka mwaka Juzi South africa. Alisoma mpaka akapata Phd, huwa namuona facebook akitupia picha akila good time in the US. Nadhani alipata kazi kubwa sana huko US iliyomfanya aondoke SA.
Kwa wabongo wanaozamia SA bila kuwa na elimu yoyote wanaishi maisha ya kuunga unga sana. Wanaofanya kazi halali ni wale wanaoamua kuuza matunda na pipi mitaani. Maisha yao ni magumu tu. Wengine ambao hawataki kufanya kazi halali na wanaotaka mafanikio ya haraka ni hao wanaouza unga, waganga wa kienyeji na wezi. Wauza unga wana hela chafu na wanaishi maisha ya kifahari sana. Waganga wa kienyeji nao wanapiga pesa sana (utapeli). Wezi nao wanapata vihela, wanaendesha magari ila huyo mwizi unaweza ukamkuta leo anaendesha gari la kifahari lakini kesho ukamkuta analala nje, amekosa hata hela ya kuchangia chumba. Wabongo wengine ndio hao mabaharia wapanda meli. Wao ni kutembea na vibegi mgongoni na kwenda kunyatia meli ili wazamie. Hao utawakuta wamejaa Durban na port moja inaitwa Richardsbay. Hao ni wachafu hatari. Wanalala parking, wapo standby kudandia meli, sehemu wanazolala ukienda kukaa lazima utoke na chawa.
Khumbu Ioved you for real...ila basi situation ilikuwa inamkabaNaona kama stori imeisha. Kipande kilichobaki nitamalizia kesho. Acha nifanye kazi zingine wakuu.
Mzee mbona umequote kipande ambacho hata hakiongelei maisha yangu? Wapi panahuzunisha hapo?Kipande hiki kina huzunisha kiasi Fulani hasa Ukizingatia Unaondoka Kwa majonz
πππ anaitwa jumaMuulize huyo uliye muweka profile anajua vizuri sana.