konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
- #3,101
Nasikia Chaduma alisharudi Bongo. Yupo Keko.Chaduma kesho chapati ziwe nzuri tafadhali,tusijeacha kununua ukaanza kununa bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Chaduma alisharudi Bongo. Yupo Keko.Chaduma kesho chapati ziwe nzuri tafadhali,tusijeacha kununua ukaanza kununa bure.
Aah maish ya Durban yamemshindaNasikia Chaduma alisharudi Bongo. Yupo Keko.
Hapana sijawahi kukutana naye. Wale jamaa zangu waliniambia Chaduma yupo Bongo, alirudi na familia yake.Aah maish ya Durban yamemshinda
Bongo hujawah kukutana naye
Muuza chapati.....Nasikia Chaduma alisharudi Bongo. Yupo Keko.
Kama umeisoma stori kuanzia mwanzo utakuwa unamjua Chaduma. Sasa hapa hata sielewi kama unauliza au unaongea.Muuza chapati.....
Siulizi mkuuu, naelwa a mpakq sasa....Kama umeisoma stori kuanzia mwanzo utakuwa unamjua Chaduma. Sasa hapa hata sielewi kama unauliza au unaongea.
Mkuu hv hujawahi kupita UJIJI RESTAURANT ya Bwana Sele paleKama umeisoma stori kuanzia mwanzo utakuwa unamjua Chaduma. Sasa hapa hata sielewi kama unauliza au unaongea.
Big up Konda msafi...ukiacha mambo mengi kwenye hii story nimejifunza kitu kimoja kikubwa....Loyalty between friends..Jamaa zako walikuwa loyal sana kwako..since then huna kitu, upo chuo unasoma ila walikuwa nawewe bega kwa bega..
weee kijana safi sana una mtizamo hapa nimejifunza kitukonda msafi kutokana na hii sehemu ya mwisho uliyoweka inaonekana (kutokana na mtazamo wangu) hisia zilikutawala kurudi nyumbani hayakuwa mawazo pevu kwani tayari ulikubalika kwenye hiyo kampuni na huyo director alijaribu kukusaidia kwa mawazo.
Na kitu kingine ulipata marafiki wazuri kama kina Sandile na hao ndugu zako wa Workshop ambao tayari ungeamua kufanya maisha yako huko ya kudumu , Nyumbani ungekua unaenda kusalimia tu na kama nitakua nakosea unisamehe mkuu lakini naweza sema kwasasa unajutia hayo maamuzi ndiyo yaliyopelekea kuandika huu uzi ili watu wajifunze.Ukizingatia na hali ya uchumi huko Tanzania kwa sasa pamoja na janga hili la korona.
Maisha si lazima ufanye nyumbani na kwa takwimu wengi wao ambao hufanikiwa ni wale wanafanya maisha mbali na nyumbani kwao.
Nimejifunza sana hapa kuwa USIKUBALI KUFANYA MAAMUZI YA MAISHA UKIWA NA 'EMOTIONAL THINKING' kuna kipindi nikiwa chuo nilitaka kuharibu maisha kwa mwenendo wa hisia za mapenzi.
Mytake: Ukipata nafasi ya kutoka nje ya mipaka ya nchi hakikisha unapambana huko unawekeza kidogo lakini nyumbani unawekeza vya kutosha kwa ajili ya kusaidia ndugu,jamaa na marafiki na itakusaidia pia hata ukiamua kurudi nyumbani.
Cheers!!
Mkuu mipaka si imefungwa au!!Nimepata wazo la kuzamia south ki ukwel bongo wachaw wengi
Mkuu nipe maujanja niingie hukoAina noma man karibu sana Cape Town
Border wameisha fungua tayariweee kijana safi sana una mtizamo hapa nimejifunza kitu
Mkuu mipaka si imefungwa au!!
HahahaaaKwenye mwendelezo usisahau kukazia hapo.
Oook! Akhsante mkuu! Ngoja nikamtafute khumbu nimpe maujanja ya kuja bongoBorder wameisha fungua tayari
Mbona imeisha halafu kama inadai kitu.... vipi ulithibitisha kua yule demu wa Sinza ni kawaida kama dogo alivyosema? Vipi kuhusu Amina?Inaendelea...
Niliporudi Tanzania niliendelea kuwasiliana na Khumbu zile siku za mwanzo mwanzo lakini baadae nilianza kupunguza mawasiliano maana nilipofika Bongo mambo yalianza kuwa mengi sana. Nilijikuta nimezama kwenye mapenzi ya wanawake wengine. Si mnakumbuka ile thread niliyoileta hapa yenye tittle "Nipo njia panda...?" Amina naye alikuwa ananihitaji, demu wa Sinza naye ndio tupo pamoja, tunapika na kupakua, hivyo Khumbu akawa kama hana tena nafasi kwenye moyo wangu. Nikawa namtafuta hata mara moja baada ya wiki mbili. Kuna siku nilimpigia tuliongea sana na hatimae tukapanga aje Tanzania kutembea, kipindi hicho nilikuwa tayari nimeshapata kazi ila nilikuwa kwenye penzi zito la huyu mwanachuo na nilikuwa na majukumu kama yote. Niliona hata kama angekuja Bongo nisingepata muda wa kuwa naye ile effective maana tayari nilikuwa tayari kwenye commited relationship. Kwa hiyo niliamua kulipotezea ombi lake la kuja Bongo. Kila nikimpigia nilianza kumpiga kalenda nikimwambia subiri kwanza niweke mambo sawa, mambo yakikaa sawa nitakuleta.
Nilikaa kimya kama mwezi mmoja hivi bila kumtafuta. Yeye alikuwa hapigi mimi pekee ndio nilikuwa mtu wa kumpigia.
Siku moja nikaamua acha nimpigie nimjulie hali. Nakumbuka siku hiyo nilikuwa kazini na kama sikosei ilikuwa 2014. Nilipopiga simu, simu yake ikapokelewa na rafiki yake ambaye tulikuwa tunafahamiana. Alishawahi kuja naye mara nyingi pale workshop, na hata siku ile tulipoenda maeneo ya kwao kipindi cha 2010 FIFA world cup ndio huyo aliyekuja naye pale shopping mall. Pia nilishawahi kwenda kwao mara nyingi tu maana walikuwa majirani. Alipopokea simu nikamsalimia kisha nikamwuliza mbona unapokea simu ya Khumbu, yeye yuko wapi? Akanijibu "Nilikuwa nakutafuta sana nikujulishe Khumbu kafariki" Nikamwuliza "Khumbu kafariki?" Akajibu "ndio Konda msafi Khumbu kafariki, nilikuwa nakutafuta sana nikujulishe, Jumamosi ndio mazishi yake" ...Aisee! Mwili ulikufa ganzi. Nikamwuliza "nini kimemuua?" Akajibu "alibanwa na mbavu, akakimbizwa hospitalini, baada ya muda mfupi akafariki". Nikamwuliza, unasema ulikuwa unanitafuta, ulikuwa unanitafutaje? Akasema nilikuwa naipiga namba yako lakini haitoki. Akaniambia "njoo umzike mpenzi wako". Nikamwambia sidhani kama nitaweza kuwahi mazishi, process za kujiandaa na safari haziwezi kuruhusu kuwahi mazishi.
...Baada ya kumaliza kuongea na huyo rafiki yake nikawapigia simu jamaa zangu wa Durban kuwajulisha habari za kifo cha Khumbu. Jamaa walisikitika sana, wakawa wanasema walikuwa wanakutana naye mara moja moja town wanasalimiana. Wakaniambia niende nikamzike mwanamke wangu. Nikawaambia sitaweza kuja South africa, nikawaomba waende kumzika shemeji yao, na hata kama watashindwa kwenda kumzika nikawaomba waende wakapeleleze nini chanzo cha kifo cha Khumbu maana swala la kusema tu kifua kilimbana haliingia kabisa kichwani. Jamaa wakaniambia watafuatilia na watanijulisha. Kweli baada ya siku chache walinitafuta na kuniambia ni "hakika na kweli Khumbu amefariki".
MWISHO WA STORI YA KHUMBU*
Mheshimiwa kondakta!hakuna mdogo wake wa kike wanae fanana fanana na khumbu??Inaendelea...