Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Labda uongeze uwe CPA, kule wanaita CA. Ila kama upo vizuri kwenye hesabu unaweza kutafuta connection ya kufundisha. Otherwise mambo yatakuwa sio marahisi sana.
Hesabu sio sana ila najua accounting sana ndo kitu pekee nahisi siji kisahau maisha yangu yote

Mungu amenisaidia najua na kifundisha naweza
 
South africa kwa accounting ni number one. Kila mtu anasoma accounting kwa sababu ina hela. So, ukienda huko itakuwa ngumu sana kupata kazi.
Okay msafi ila natamani niende japo kuwa nakaribia 30
 
Mkuu konda msafi naomba kujua a,b,c za maisha ya south Africa kuna rafiki yangu ananishawishi niende kule yeye ana mwaka wa 4 sasa tangu aende.
Uoga wangu ni kwamba elimu yangu ni form four na sina ujuzi wowote ila kazi yoyote ya kujituma naweza kufanya.
Naomba unipe ushauri
 
Usiende mkuu. Life la kule ni very harsh kama huna zile wanaziita "critical skills". Utaishia kujiingiza kwenye shughuli hatarishi.
 
Mwanaume HAOGOPI MAISHA.nenda ukishindwa RUDI.
 
Mzee wa ubwabwa una nini lakini? Haya nenda inbox nimekutumia picha ya Khumbu labda utaacha kuniandama.
Kiongozi najua una majukumu mengi ya kujenga nchi, ila nami naomba niipate picha ya Khumbu inbox, naamini utalifanya hili mana ushafanya mengi tuu nlokuomba ufanye. Good for the game[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa mkuu, nitakutumia.
 
Usiombe ushikwe na mdudu anaitwa mapenzi. Mapenzi yanatesa sana. Nimempenda sana khumbu, yani naona kabisa nitaanza kuzurula peku kama Mrisho Mpoto kwa ukichaa alionipa khumbu. Na mimi nitaanza kumuota ndotoni kuanzia sasa. Ngoja nilale nimedownload lipicha flani hapa la mdada wa isidingo.
 
Sawa mkuu, nitakutumia.

You are larger than life bro... nimekua inspired na kupata exposure mkubwa shaana... uyo chali Chaduma ananichekesha tu kila ukimuongelea is he a TOKOLOSHE or a CHIHUA HUA? Hahaha... yaani Khumbu ndo zile calibers za from that other planet etiii... so adorable and colorful. Kindly please PM me too her image... that woman eti pale msibani anakwambia 'let me worry about that' dah ndo maana hutokaa umsahau au kupata equivalent yake... good thing that you shared this amazing experience!
 
Jiwe is here to stay Mkuu!! President wa Muyaya!
amalize wapi!! Jiandae tu kushika kiti hicho!! Wakati mtu yuko India!! Kwa matibabu ya covid haongei yuko hoi!!anaweza vuta yule jamaa! Ukiangalia aljazeera bongo wanaweka vipande nusunusu tu!! Wanaogopa! Huku ni full mzuka
 
Aisee, TOT imeanza kutunga nyimbo?
 
amalize wapi!! Jiandae tu kushika kiti hicho!! Wakati mtu yuko India!! Kwa matibabu ya covid haongei yuko hoi!!anaweza vuta yule jamaa! Ukiangalia aljazeera bongo wanaweka vipande nusunusu tu!! Wanaogopa! Huku ni full mzuka
smaki nirushie link hata inbobo maana dw na bbchawa wamestop labda atajitokezamo akiapisha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…