konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
- #3,301
Okay.Katibu mkuu mtarajiwa wa chama no 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay.Katibu mkuu mtarajiwa wa chama no 1
Hesabu sio sana ila najua accounting sana ndo kitu pekee nahisi siji kisahau maisha yangu yoteLabda uongeze uwe CPA, kule wanaita CA. Ila kama upo vizuri kwenye hesabu unaweza kutafuta connection ya kufundisha. Otherwise mambo yatakuwa sio marahisi sana.
South africa kwa accounting ni number one. Kila mtu anasoma accounting kwa sababu ina hela. So, ukienda huko itakuwa ngumu sana kupata kazi.Hesabu sio sana ila najua accounting sana ndo kitu pekee nahisi siji kisahau maisha yangu yote
Mungu amenisaidia najua na kifundisha naweza
Okay msafi ila natamani niende japo kuwa nakaribia 30South africa kwa accounting ni number one. Kila mtu anasoma accounting kwa sababu ina hela. So, ukienda huko itakuwa ngumu sana kupata kazi.
Nenda mzee kapambane. Maisha popote mkuu.Okay msafi ila natamani niende japo kuwa nakaribia 30
Ngoja niandae kama m3 iv nizamieNenda mzee kapambane. Maisha popote mkuu.
Usiende mkuu. Life la kule ni very harsh kama huna zile wanaziita "critical skills". Utaishia kujiingiza kwenye shughuli hatarishi.Mkuu konda msafi naomba kujua a,b,c za maisha ya south Africa kuna rafiki yangu ananishawishi niende kule yeye ana mwaka wa 4 sasa tangu aende.
Uoga wangu ni kwamba elimu yangu ni form four na sina ujuzi wowote ila kazi yoyote ya kujituma naweza kufanya.
Naomba unipe ushauri
Mkuu konda msafi naomba kujua a,b,c za maisha ya south Africa kuna rafiki yangu ananishawishi niende kule yeye ana mwaka wa 4 sasa tangu aende.
Uoga wangu ni kwamba elimu yangu ni form four na sina ujuzi wowote ila kazi yoyote ya kujituma naweza kufanya.
Naomba unipe ushauri
Kiongozi najua una majukumu mengi ya kujenga nchi, ila nami naomba niipate picha ya Khumbu inbox, naamini utalifanya hili mana ushafanya mengi tuu nlokuomba ufanye. Good for the game[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa ubwabwa una nini lakini? Haya nenda inbox nimekutumia picha ya Khumbu labda utaacha kuniandama.
Sawa mkuu, nitakutumia.Kiongozi najua una majukumu mengi ya kujenga nchi, ila nami naomba niipate picha ya Khumbu inbox, naamini utalifanya hili mana ushafanya mengi tuu nlokuomba ufanye. Good for the game[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi piaSawa mkuu, nitakutumia.
Sawa mkuu, nitakutumia.
amalize wapi!! Jiandae tu kushika kiti hicho!! Wakati mtu yuko India!! Kwa matibabu ya covid haongei yuko hoi!!anaweza vuta yule jamaa! Ukiangalia aljazeera bongo wanaweka vipande nusunusu tu!! Wanaogopa! Huku ni full mzukaJiwe is here to stay Mkuu!! President wa Muyaya!
Aisee, TOT imeanza kutunga nyimbo?amalize wapi!! Jiandae tu kushika kiti hicho!! Wakati mtu yuko India!! Kwa matibabu ya covid haongei yuko hoi!!anaweza vuta yule jamaa! Ukiangalia aljazeera bongo wanaweka vipande nusunusu tu!! Wanaogopa! Huku ni full mzuka
smaki nirushie link hata inbobo maana dw na bbchawa wamestop labda atajitokezamo akiapisha watuamalize wapi!! Jiandae tu kushika kiti hicho!! Wakati mtu yuko India!! Kwa matibabu ya covid haongei yuko hoi!!anaweza vuta yule jamaa! Ukiangalia aljazeera bongo wanaweka vipande nusunusu tu!! Wanaogopa! Huku ni full mzuka