Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

mkuu nimepigika ngoja mpunga utoke wiki ijayo nkupatie japo bando la wiki la voda. ila story imeisha kwa huzuni sana.
ukipendwa usipopendwa huwa ni majonzi na huzuni siku zote. polee
 
mkuu nimepigika ngoja mpunga utoke wiki ijayo nkupatie japo bando la wiki la voda. ila story imeisha kwa huzuni sana.
ukipendwa usipopendwa huwa ni majonzi na huzuni siku zote. polee
Asante Mrs. Bishanga.
 
Hii ndio ya mwisho?
 
Wewe endelea kupekua, mwendelezo upo mbele.
Imebidi nicomment pia MMU, big up kwanza..pili unaweza kumalizia kwa kutuambia jamaa walivouliza vizuri nini hasa kilipelekea kifo cha Khumbu? Na alifarik mda gan baada ya wewe kurudi bongo?
Last hongera kwa ujasiliamali kuanzisha kitu chako mwenyewe. Never quit,if it were easy everybody would do it.
 
Nafikiri alifariki baada ya miezi michache baada ya mimi kuondoka. Sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka baada ya mimi kuondoka huko tuliendelea kuwasiliana, nilikuwa naongea naye karibia kila wiki. Ila kuna kipindi nilimchunia kama mwezi hivi, na nilipomtafuta ndio nikakutana na habari za msiba wake, so ingawa siwezi kukumbuka precisely ni muda gani alifariki baada ya mimi kuondoka huko lakini kulingana na mazingira ya mawasiliano yangu na yeye nadhani haiwezi kuzidi mwaka kama sio miezi kadhaa.
 
Kilaba nimamua nikusaidie kwa kukutag..maana hii story umeitafuta sana..sasa kazi ni kwako kuanza page namba 1 na kuendelea...Bonge moja la story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…