Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Sasa mama angu upo comment ya 1300+ wakati uzi una comments 3000+, hivi unadhani hakuimalizia kweli?ma...nyo...ko zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mama angu upo comment ya 1300+ wakati uzi una comments 3000+, hivi unadhani hakuimalizia kweli?ma...nyo...ko zako
[emoji23]mbon stori ilishaisha kitambo sana watu hadi wameshasahau habar za khumbuSasa mama angu upo comment ya 1300+ wakati uzi una comments 3000+, hivi unadhani hakuimalizia kweli?
Mama kama unataka kuchangia wewe changia tu ila stori niliimaliza yote baada ya members kunipigia kelele utadhani wamenizaa. So, wewe endelea kupekua tu utaupata mwendelezo.ma...nyo...ko zako umeniuzi weweeeeee
nini kuukatisha huu utepeeee?
tulipe whatsapp ukatupige kamba
Nsamehe kipenzi...nshaonaaMama kama unataka kuchangia wewe changia tu ila stori niliimaliza yote baada ya members kunipigia kelele utadhani wamenizaa. So, wewe endelea kupekua tu utaupata mwendelezo.
Kweli kabisa tulikupigia kelele yaan unadhan tulikuza[emoji23][emoji23][emoji23]Mama kama unataka kuchangia wewe changia tu ila stori niliimaliza yote baada ya members kunipigia kelele utadhani wamenizaa. So, wewe endelea kupekua tu utaupata mwendelezo.
Asante Mrs. Bishanga.mkuu nimepigika ngoja mpunga utoke wiki ijayo nkupatie japo bando la wiki la voda. ila story imeisha kwa huzuni sana.
ukipendwa usipopendwa huwa ni majonzi na huzuni siku zote. polee
Hii ndio ya mwisho?Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu.
Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Nionyeshe pia!
Tuonyeshe na sie
Imebidi nicomment pia MMU, big up kwanza..pili unaweza kumalizia kwa kutuambia jamaa walivouliza vizuri nini hasa kilipelekea kifo cha Khumbu? Na alifarik mda gan baada ya wewe kurudi bongo?Wewe endelea kupekua, mwendelezo upo mbele.
Sad hajamalizaJiwe atakuwa kamaliza mihura yeke miwili.
Nafikiri alifariki baada ya miezi michache baada ya mimi kuondoka. Sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka baada ya mimi kuondoka huko tuliendelea kuwasiliana, nilikuwa naongea naye karibia kila wiki. Ila kuna kipindi nilimchunia kama mwezi hivi, na nilipomtafuta ndio nikakutana na habari za msiba wake, so ingawa siwezi kukumbuka precisely ni muda gani alifariki baada ya mimi kuondoka huko lakini kulingana na mazingira ya mawasiliano yangu na yeye nadhani haiwezi kuzidi mwaka kama sio miezi kadhaa.Imebidi nicomment pia MMU, big up kwanza..pili unaweza kumalizia kwa kutuambia jamaa walivouliza vizuri nini hasa kilipelekea kifo cha Khumbu? Na alifarik mda gan baada ya wewe kurudi bongo?
Last hongera kwa ujasiliamali kuanzisha kitu chako mwenyewe. Never quit,if it were easy everybody would do it.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie mitume hapa tunawakataa, Unalalama harufu ya Mavi kwenye Choo cha mabaharia!!?? nenda jukwaa la dini huko kaimbe pambio, huku unatuvurugia mambo yetu