Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

We miss your stories broh
 
This story will long live to be the bets touching, well-articulated true stories ever. R.I.P KHUMBU
 
mbona meya kabisa kumbilamoto ameoa kabisa demu ambaye ni malaya tu
 
Mapenzi haya ni noma sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Asante sana bro konda msafi kwa story Yako nzuri. Khumbu loved you so much....
You left SA due to many reasons,Khumbu being one of the reasons.
Khumbu died and I think you're among the causes of her death probably... Anyways Kazi yake mora haina makosa. RIP Khumbu our brother loved you.

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Khuumbuuuu mapenzi hadimu
 
Shukrani boss.
 

“Wakaamua tu waniache na discussion nikachezee makalio ya dada yao”[emoji23][emoji23] legend🫡
 

[emoji23][emoji23]mapenzi ni uchizi .. respect kaka🫡
 



Ndugu ni rahis demy wa uswaz kukutana au kwenye mahusiano na kiongozi moubwa wa kiume kuliko kijana chokoraa kuwa na mahusiano na kiongoz mkubwa wa kike achilia mbali mayor ambaye somehow ana direct access hata na watu wadogo wa baadhi ya mitaa .. waziri ambaye wana watu lukuki chini yake wa kuweza kumuwakilisha akiwemo huyo mayor na bado utakuwa ana. Mchepuko aliekuwa anakaa tandale..

Ulishawah jiuliza unaweza ukakuta dem alipekekwa events na mshakaj wa hali ya kawaida mayor akaona mzigo akatoa order

Au pengine khumbu katika kitafuta maisha khumu alikwenda kwenye ofc ya mayor kupata huduma
Mayor akaona..

Neno kuu ni mayor ndo kamtaka khumbu sio khumbu kamtaka mayor.. sawasawa uulize mjusi kanasaje kwenye utando wa buibui wakati unaning'inia na yeye anatambaa
 
Safi kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…