Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napitwaje sasa lol.Haupitwi
[emoji1][emoji1][emoji1]
Wacha we[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Khumbu km Khumbu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We miss your stories brohMwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao wameoa kwetu na sisi tumeoa kwao. Pia hawa jamaa tumesoma shule moja ya msingi japo madarasa tofauti.
Historia fupi kabla sijaingia Durban. Nilifika South Africa toka 2003. Nilifikia Johannesburg. Joburg nilienda kama volunteer kwenye taasisi moja ya kidini ambayo nisingependa kuitaja. Nikiwa naendelea kufanya kazi kwenye hiyo taasisi niliwaomba wanisaidie kumalizia elimu nyangu ya sekondari. Walinikubalia na process zikaanza kufanyika. Ilibidi nirudi Tanzania kwa ajili ya kwenda shule niliyokuwa nasoma ili kupata nyaraka za kuonyesha nimesoma mpaka level gani maana nilitoka bongo nikiwa hata sijamaliza form three. Mambo yalienda vizuri na niliweza kuanza masomo kwenye shule moja inaitwa Mosupatsela High School iliyopo kwenye kitongoji kinaitwa Kagiso. Kagiso ipo karibu na suburb moja inaitwa Krugersdorp. Nilimaliza high school 2007, na 2009 nikafanikiwa kuingia chuo. Mwaka 2008 ndio nikapata mawasiliano na hao ndugu zangu waliopo Durban, Kwa Zulu Natal.
Huko Joburg sio kwamba sikuwa na mahusiano, mahusiano nilikuwa nayo ila nimeamua kuongelea mahusiano ya Durban maana vurugu za Durban naweza kusema kama ni jembe basi mpini ulivunjikia Durban. Kuna mambo kila nikiyakumbuka yanafurahisha na kuhuzunisha. Durban kuna mambo mengi nimeyafanya, mengine siko proud nayo kabisa. Mojawapo ni hili la mshikaji kumleta demu gheto na tukamla wote wawili, demu mwenyewe alilidhia. Hili wala sitaliongelea.
Mwaka 2008 nikawa nimeingia Durban. Nilipanda basi sehemu moja inaitwa Park station mida ya saa tatu usiku. Saa tisa alfajiri nikawa nimetia timu stand ya mabasi Durban. Nikawacheki wenyeji wangu kwenye simu, wakasema nisubiri kupambazuke watanifuata. Asubuhi jamaa zangu wakaja na kipira kunichukua. Break ya kwanza nikapelekwa sehemu moja inaitwa “the workshop”. The workshop ipo downtown Durban, ipo karibu tu na kituo cha mabasi. Kipindi hicho masela wangu walikuwa na goli la viatu vya kike. Tulipofika hapo workshop jamaa wakawa wanafunga tent ili wapange viatu tayari kwa biashara. Baada ya kumaliza kupanga viatu na movements za watu kwenda kazini zishaanza kuwa nyingi jamaa akaniambia sasa ni muda wa kunipeleka magetoni nikapumzike kwanza. Tukaingia kwenye ndinga na safari ya kwenda magetoni ikaanza. Tukiwa tunaelekea magetoni jamaa akapitia KFC ili nipate kitu cha kwenye mabox kwa ajili ya msosi. Jamaa walikuwa wamepanga sehemu moja inaitwa Rossburg. Walikuwa wamechukua flat nzima yaani floor nzima. Kwenye hiyo flat walikuwa wanashare watu watatu. Flat ilikuwa na vyumba vitatu, sebule moja kubwa, jiko na bafu. Pia kulikuwa na kichumba kimoja kwa ajili ya store. Sasa kwenye hicho kichumba nilikuwa nalala mimi na mshikaji mmoja ambaye pia ni homeboy. Nyumba nzima tulikuwa watu watano, yaani Jamaa zangu wawili walioniita (ni mtu na mdogo wake), Mburundi mmoja, jamaa mmoja Mbongo alikuwa akiitwa baba Isa, na mimi sasa. Hawa jamaa wote walikuwa na mademu zao wa kizulu. So siku ya kwanza ikaisha kwa kupumzika.
Siku ya pili jamaa wakaniambia nikiamka nifanye mpango wa chai kisha nipande taxi kwenda workshop wanakofanyia biashara. Kule daladala zinaitwa taxi. Kule taxi zinaitwa “meter taxi”. Ukisema taxi unamaanisha daladala. Nilipoamka, nikafanya utastaarabu wa chai kisha nikapanda taxi kuelekea workshop. Jamaa enzi hizo walikuwa wanaamuka saa 11 alfajiri kwa ajili ya kujiandaa kwenda kufungua goli. Saa 12 asubuhi yatari wapo kazini. (Sasa hivi jamaa hawauzi tena viatu, wanafanya biashara za magari, ni madon wakubwa. Sembe inalipa).
Maisha rasmi ya Durban yakaanza. Nikawa kila siku naamka alfajiri tunaenda kufungua goli la viatu. Biashara ilikuwa nzuri sana hasa siku za Jumamosi na Jumapili. Workshop siku za Jumamosi na Jumapili ilikuwa inajaa watu sana. Of course hata siku zingine watu walikuwa wanajaa lakini siku za weekends ilikuwa funga kazi. Watu wa Durban na vitongoji vyake siku za weekends ndio siku za kwenda kutembea town. Na ndio siku wabongo huzitumia kwenda kupiga mchomoko maana watu huondoka familia nzima na kwenda town kufurahia maisha. Pia shamrashamra za weekend huko huanza Ijumaa. (Mchomoko ni wizi wa kwenda kuvunja majumba na kuingia ndani na kuiba). Kule ukitaka kumjua kama demu ni wako na anakupenda muombe muonane siku za weekends. Demu wa South Africa, hasa Durban huwezi kumpata siku za weekends. Siku zingine zote utampata lakini weekends never ever. Akija siku ya weekend huyo ni wako na anakupenda.
Safari yangu ya mahusiano nikiwa Durban.
Kuna mademu watano ambao nilijihusisha nao kwa ukamilifu. Achana na wale wakuokota na kupiga na kusepa. Ila nitamuongelea huyu mmoja ambaye aliuteka moyo wangu, nikawa kama zezeta. Na hii ndio sababu imenifanya nianzishe huu uzi baada ya kumkumbuka huyu mtoto wa kizulu na drama zake zilizotaka kunitoa uhai.
Picha linaanza kama ifuatavyo:
Kama nilivosema saa 12 asubuhi tayari tupo workshop tunafunga tent kwa ajili ya kupanga viatu. Kazi ya kufunga tent na kupanga viatu ilikuwa inachukua kama masaa mawili hivi au saa moja na nusu hivi. Kwa hiyo kwenye saa mbili hivi tunakuwa tushamaliza kupanga viatu, na kuanza kutafuta chai. Kulikuwa na mbongo (jamaa) mmoja alikuwa anatupitishia chai na chapati. So, mida ya saa mbili hivi atatuletea chai na chapati. Jina lake alikuwa anaitwa Chaduma. Nadhani masela wa Durban kama wamo humu JF watakuwa wamemnyaka huyu mwamba na huenda wakanijua, ila nitajitahidi kuficha codes zote muhimu ili nisitambulike. Sometimes chapati za Chaduma zilikuwa zinakifu hivyo mtu unaamua kwenda kufungua kinywa sehemu nyingine. Dah! Chaduma alikuwa na maneno ya shombo hatari. Usipokula chapati zake atakusema kwa wabongo balaa. Kwa hiyo sometimes unaamua kula chapati za Chaduma kwa kuogopa kwenda kusemwa kwa wabongo kwamba unaringa.
Siku moja nilichoka kula chapati za Chaduma nikaamua kwenda kutafuta chakula sehemu nyingine. Hiyo siku ndio siku niliyokutana na kipenzi changu Khumbu Mkhize.
Nilipomaliza kufunga tent na kupanga viatu, kabla Chaduma hajafika nikaamua kwenda kufuata chai na vitafunio sehemu moja hivi. Hiyo sehemu ni ng’ambo ya pili kutoka workshop, yaani unatoka nje ya workshop, unavuka barabara ndio unaifikia hiyo sehemu. So, wakati nataka kuvuka barabara nikamuona msichana amekaa kwenye kingo ya barabara kajiinamia kama mtu yupo kwenye lindi la mawazo hivi. Basi nikamsogelea, nikamsemesha. Nikamsalimia, kisha nikamwuliza, vipi? Kulikoni asubuhi hii upo hapa? Akaniambia ana njaa. Nikimcheki ni binti mdogo tu, alikuwa na miaka 18 (nilikuja kujua umri wake baadae tulipokuja kuwa wapenzi). Basi nikampa rand 20 akale, nikamwelekeza goli langu (ninapofanyia kazi) ili akimaliza kula aje tufahamiane zaidi.
Nimechoka kuandika nipumzike kidogo, itaendelea.
Kusoma muendelezo bofya
SEHEMU YA PILI
SEHEMU YA TATU
SEHEMU YA NNE
SEHEMU YA TANO
SEHEMU YA SITA
SEHEMU YA SABA
SEHEMU YA NANE
SEHEMU YA TISA
SEHEMU YA KUMI
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
SEHEMU YA KUMI NA TATU
SEHEMU YA KUMI NA NNE
SEHEMU YA KUMI NA TANO
SEHEMU YA KUMI NA SITA
SEHEMU YA KUMI NA SABA
SEHEMU YA KUMI NA NANE
SEHEMU YA KUMI NA TISA
SEHEMU YA ISHIRINI
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA
SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
SEHEMU YA THELATHINI
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
mbona meya kabisa kumbilamoto ameoa kabisa demu ambaye ni malaya tuBut still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mapenzi haya ni noma sana.Inaendelea
Basi nilipoingia chumbani, nikamkuta demu amejilaza, kajifunika shuka ila yuko macho. Akainuka akaa kitako, na mimi nikapanda kwenye godoro, tukawa tumekaa huku tumeegemea ukuta.
Naomba kwanza nikielezee hiki chumba (store) tuliyokuwa tunalala mimi na msela wangu, maana kuna tukio lilitokea ambalo nitakuja kulielezea ili iwe rahisi kuunganisha stori na kuleta mtiririko mzuri. Hiki kichumba kilikuwa sio kikubwa sana, ukiweka kitanda cha sita kwa sita unaweza usipate hata sehemu ya kupita au itabakia ndogo sana. Halafu kilikuwa kimepakana na chumba cha huyu msela mwingine mbongo anaitwa baba Isa.
Baba Isa alikuwa na mademu wawili wa kizulu waliokuwa wanakuja kwa nyakati tofauti hapo getoni, ila kuna siku hao mademu waligongana, nyumba ikageuka uwanja wa vita. Kama nilivyosema hicho kichumba nilichokuwa nalala kilikuwa kinapakana na chumba cha baba Isa. Ule ukuta unaotenganisha chumba changu na cha baba Isa kulikuwa na kidirisha kidogo kwa juu cha kioo. Siku baba Isa alipogonganisha magari (mademu) kile kidirisha cha kioo kilipasuliwa na mmoja wa mademu wake.
Haya tuendelee kuhusu huyu mtoto Khumbu aliyetaka kusabisha nitolewe roho.
Mle chumbani kulikuwa hakuna kitanda. Kulikuwa na godoro tumelitandika chini, na maisha yalikuwa poa tu.
Basi nikawa namchukulia maelezo ya awali Khumbu, nikawa nataka kujua ilikuwaje asubuhi yote hiyo yupo town na ana njaa. Khumbu akanieleza kwamba, kuna jamaa amezaa naye, ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi kadhaa, huyo jamaa aliyezaa naye ni mmiliki wa taxi (daladala) na ni mkorofi kinyama. Wamezinguana naye, hivyo jamaa kasusa kumhudumia mtoto. Anaishi na bibi yake, bibi yake anaishi hana kipato chochote zaidi ya government grant. Kwa hiyo ametoka nyumbani asubuhi kuja town kwa ajili ya kwenda home affairs kuweza kuapply government grant kwa ajili ya mtoto wake maana baba ake amhudumii tena. Anyway hayo ndio maelezo aliyoyatoa, huenda labda alikuwa ananiongopea.
Baada ya kupiga stori kwa muda mfupi, nikaanza uchokozi wa kutaka kula tunda. Of course haikuwa shida maana demu alikuwa amejipanga kuja kuliwa. Tukafanya foreplay i.e romance, kissing and the like nikapakua mzigo. Kama nilivyotangulia kusema awali Khumbu kaumbika, God is my witness. Khumbu ana umbo moja matata sana, ana makalio kama yananing’inia hivi halafu malaini. Amezaa lakini utadhani hajazaa maana tumbo ni very flat halafu halina mchirizi hata mmoja kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi waliozaa. Halafu tokea nimeanza kuwala wasauzi nilikuwa sijawahi kukutana na mwanamke anayekata mauno kama Khumbu. Mademu wote niliowala kuanzia Joburg hadi Durban hakuna aliyekuwa anakatika. Lakini kwa Khumbu alikuwa anakata mauno utafikiri unatiana na demu wa kibongo. Zaidi ya yote hadi sasa sijawahi kukutana na demu anayeweza kukata mauno kama Khumbu.
Khumbu alikuwa na namna yake tu ya kuzungusha kiuno, yaani unahisi kama mb.o..lo inakunjwa kunjwa kwa ndani. Kwenye kukata mauno hadi jamaa zangu na akina baba Isa walikuja kukiri huyo demu anakupenda. Hawa jamaa kumbe walikuwa wananipiga chabo kila nikivusha, walikuja kuniambia kwa baadae uchafu wote tuliokuwa tunafanya na Khumbu. Kumbe kile kidirisha cha juu kilichopasuliwa walikuwa wanakitumia kutupiga chabo. Walikuwa wananiambia huyu demu mzee anakupenda sana, mademu ya hapa hajajui kukatika ila huyu wako anakukatikia, ukimwambia chuma mboga anainama, ukimwambia nikalie anakukalia, ukimwambia nyonya ana nyonya. Siku za breed alikuwa analeta hivyo hivyo, so naamua kuchagua either nile hivyo hivyo au nimalize kwa kunyonywa.
Zaidi ya yote siku za weekend Khumbu alikuwa anapatikana. Anyway hapo ndio ukawa mwanzo wa penzi letu mimi na Khumbu, penzi zito lililohatarisha uhai wangu. Khumbu kanitesa sana, kaniumiza mno. Nilishawahi kupigiwa simu na msela ananiambia atanipiga risasi.
Itaendelea asubuhi.........SEHEMU YA 4
Khuumbuuuu mapenzi hadimuJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu.
Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Shukrani boss.Asante sana bro konda msafi kwa story Yako nzuri. Khumbu loved you so much....
You left SA due to many reasons,Khumbu being one of the reasons.
Khumbu died and I think you're among the causes of her death probably... Anyways Kazi yake mora haina makosa. RIP Khumbu our brother loved you.
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Tuendelee...
Mshikaji wangu Sandile alikuwa ni mpiga picha wa gazeti linaitwa Sunday tribute/tribune (nishaanza kusahau), kwa hiyo alikuwa anasoma huku anafanya kazi. Pontsho sasa hivi ni metro police lakini kipindi hicho alikuwa anafanya kazi bank. Hivyo wote wawili walikuwa na usafiri. Ilipokaribia saa 11 Khumbu akapiga simu kuniulizia nipo wapi? Nikamwambia bado nipo chuo ila anielekeze tu yuko wapi tuje tumchukue tusepe nyumbani. Akaniambia yupo stand. Hiyo taxi rank ilikuwa karibu na chuoni kwetu. Hivyo nikawashitua Sandile na Pontsho kuwa tuondokeni, kuna mtu inabidi tumpitie. Tukakubaliana tutumie gari ya Sandile, ya Pontsho tuiache tu huko parking maana italeta usumbufu usio wa lazima. Tukawaaga wana group wenzetu, tukaelelea parking kuchukua usafiri wa Sandile.
Picha linaanza,
Nikawaeleza kuhusu Khumbu kuwa inabidi tumpitie yupo stand, bila hiyana Sandile akawasha gari tukashuka kituoni tukamchukua Khumbu. Khumbu alipoingia kwenye gari nikafanya utambulisho na safari ya kwenda maskani ikaanza. Tukiwa njiani Sandile na Pontsho wakashauliana tupie KFC tununue chakula kabisa maana huko tuendako hakuna mpishi. Basi chakula kikanunuliwa na safari ikaendele. Pale nilipokuwa nakaa kulikuwa na nyumba nyingine inatumika kwa ajili ya mikutano na funguo zake mimi ndio nilikuwa nazo. Tulipofika nikampeleka Khumbu getoni kisha nikaenda kufungua ile nyumba ya mikutano kwa ajili ya kupiga kitabu. Chakula tukagigawa, tulichukuwa kinachotutosha sisi na kingine nikapelekea Khumbu.
Wadhamini wakaanza, Sandile na Pontsho wakawa wananidadisi kuhusu Khumbu. Of course waliona nakula chakula grade one ila nikiwaangalia kwa jicho la tatu nawaona kama wananiona nimepatikana. Khumbu alikuwa demu classic hivyo walikuwa na wasiwasi nimewezaji kummiliki. Nadhani walianza kuunganisha matukio ya mizinga niliyokuwa nawapiga, hivyo walipata jibu hiyo mizinga nilikuwa nagawana na Khumbu. Na kuna siku Sandile alinichana live kwa kuniambia "Konda msafi mie nakusupport financially ila siafiki mahusiano yako na Khumbu, sikupangii nani um-date ila siafiki mahusiano yako na Khumbu". Mie niliamua kumpotezea maana niliona kama ananichuria tu, naanzaje kuiacha ngozi tamu kama hiyo, kama kufa acha nife tu. Maisha menyewe mafupi.
Tulianza kujisomea lakini akili yangu ilikosa utulivu kabisa, maana nilikuwa nawaza kwenda kumtawanya miguu Khumbu. Naona jamaa waliona sina concentration kama wanavyonifahamu, wakaamua tuachane tu na discussion waniache niende nikacheze na makalio ya dada yao.
So discussion ikafa, wakaingia kwenye gari wakasepe, na mie nikachoma ndani.
Haya tunaendelea, hapa tunaelekea lile tukio lililonifanya nimkimbize Khumbu nikiwa na boxer tu kama nimepandwa na kichaa, of course kila binadamu ana elements za ukichaa maana siku ile sikuamini kama ni mimi.
Nilipoupata ule mpunga kutoka kwa Don wa sembe nikasema afe punda huu mzigo lazima Khumbu apate share, hata kama ataamua kuuchukua wote sawa tu ilimradi roho yangu ipate hitaji lake.
Nikaona njia pekee ni kumuibukia kwao. Maana niliona nikimpigia simu nimwambie kuna hela hapa njoo uchukue atahisi kama namnunua, of course niliamua kumnunua ila niliona kwenda direct ataniona kavu.
Kesho yake sikuingia darasani, asubuhi tu tayari nipo stend kwenye foleni ya kwenda Inanda. By the way kule mnapanda daladala kwa foleni, sio kama huku kupigana vikumbo mwenye nguvu ndio anapanda. Huko ukifika stand unapanga foleni kama upo bank.
Sikutaka kumpigia simu wala kutuma sms. Nilitaka kumfanyia ambush tu. Kuhusu baba watoto wake nilikuwa sijali tena, uwazimu ulikuwa kama umenipanda kichwani. Mara huyu nishafika, bahati nzuri nikamkuta hata nguo za kulalia hajabadilisha. Nikamkuta yeye, bibi yake na mwanae.
Akanikaribisha kwa heshima zote japo alikuwa na sura ya kujiuliza, this nigga what is he here for? Halafu Khumbu ana kicheko flani kama cha wadada wa kiswahili, akacheka akaniangalia, kama vile anajiuliza huyu jamaa vipi asubuhi asubuhi yote hii? Haogopi kufumuliwa ubongo? Anyway demu ukishamula tena mara nyingi hata hazihesabiki hana nguvu kubwa ya kukuintimidate. Kwa hiyo nikamwambia young lady I need you.
Hapa hata chuo sijaenda kwa sababu yako, kwa hiyo leo lazima kieleweke. Simu hupokei, ukipokea unasema uko busy so nimeamua kukufuata kwenu labda utanielewa. Tuliongea mengi na tukakubaliana. Atakuja jioni. Kwa hiyo niondoke nikaendelee na shughuli zangu jioni atakuja. Basi mie nikawaaga nikaondoka. Siku hiyo sikutaka tena kwenda chuo japo kuna vipindi vya mchana ningeweza kuviattend. Nikanyooka moja kwa moja supermarket kwenda kufanya mahemezi ya mgeni. Jioni kwenye saa 10 akanipigia akasema amekaribia hivyo niwepo nyumbani. Nikamjibu aje tu nipo nyumbani. Muda si mrefu akawa amefika.
Alipofika nikanotice hajabeba chochote, hana mkoba wake anaokujaga nao, ana kiwallet kidogo dogo hivi. Nikahisi hapa kuna hatari inaenda kutokea. Roho yangu ikawa inaniambia huyu mtu hajaja kulala wala nini, amekuja kusoma mazingira tu kama kuna maisha au hakuna. Tumekaa kidogo akaniomba nikamnunulie vocha dukani, nikahisi huyu ataondoka, nikienda tu dukani nikirudi sitamkuta. Nikamwambia mie kwa kweli nimekumiss sana, naomba kwanza unipe kimoja halafu mambo mengine yafuate.
Halafu nikaamua kuchomekea harakaharaka kama nina hela ili kama ana mpango wa kunikimbia aahirishe, so nikaendelea kumwambia, najua wewe ni mwanamke unahitaji pia hela ya kujikimu hivyo sometimes natakiwa nikuelewe unaposhindwa kuja kunitembelea, japo nilijihisi nimeongea pumba ila nilijipa moyo kwa kufikiria huyu shida yake si ni hela hata kama nikiongea pumba hakuna shida ilimradi nimpa fungu lake. Basi akaniambia, nenda basi ukaoge then nikupe. Kidogo nikaanza kupata matumaini kuwa mzigo napewa, hata kama hatalala haina shida. Nikaingia kwenye kabati nikamtolea rand 400, akazipokea akawa kama kazikunja kunja hivi.
So, fasta nikaingia bafuni ili nioge fasta nile mzigo. Nilipokuwa bafuni nikawa nasikia kama movements hivi, nikahisi hapa nakimbiwa, nilichofanya nikaufungua kidogo mlango wa bafu ili kama atataka kukimbia nimdake maana mlango wa kutokea lazima upitie mbele ya bafu. Basi bana nikatupa boxer huko, nikafungua bomba mvua nikaanza kuoga, sekunde chache tu baada ya kuanza kuoga nikaona mtu ananyata kuelekea mlangoni, roho ikanilipuka paa!
Basi namipovu yangu nikakurupuka kuwahi mlangoni, nikawa nimechelewa, huyo keshafyatuka kama radi, nikatoka nje kuchungulia nikamuona anaishiria kutoka getini, fasta nikarudi ndani nikavaa boxer nikatoka ili nimfukuze, nikatoka mpaka barabarani kabisa huku natetemeka hata sijielewi, dah! baadae nikajitambua hapa sijavaa chochote, nipo na boxer tu acha nirudi ndani nikatafakari.
Itaendelea...
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Safi kakaHabari wakuu? Hii stori nitaimalizia japo kuna baadhi ya watu ustaarabu kwao ni zero. Kuandika stori ndefu kama hii natumia muda wakuu. Kama nilivyosema tokea awali sikutegemee kama ningetumia muda mrefu kuimaliza, nadhani nilikuwa nimei-underestmate. Anyway mniwie radhi, nitaimalizia. Nina majukumu pia jamani. Ila wabongo mbona mnakuwa hivi? Kuna watu nimesoma comments zao kama una roho nyepesi unaachana na stori yenyewe.