Hapa JF watu ninaowakubali katika kusimulia hadithi bila kukatisha wala kuwaacha raia njia panda ni
KigaKoyo na
JBourne59 ...Big up sana kwa hawa wakuu..wanasimulia kila tukio na wala hawataki kuumiza hisia za wengine..
Sio unakaa unaanzisha story then baadae unakuja kusema unaikatisha..Mambo gani haya..hata muda huu unapoisimulia najua utakuwa unaskip baadhi ya vitu ili tu uimalize uwaridhishe raia lakini toka moyoni mwako najua spirit ya kuandika imekutoka...Watu wamekaa kuisubiri halafu unaikatisha, then from no where unasema unaleta summary, why didn't u summarize in one page toka siku ya kwanza kama ulikuwa unataka kuleta summary?
Hadi ubembelezwe, watu walielie ndo ujisikie kuendelea.. Leo ndo umejua kama inakula muda. Kwani lazima uimalize leo? Mbona kina
KigaKoyo na
JBourne59 huwa wanaleta atleast 2 episodes per week..Ni episodes ambazo zinakuwa zimejaaa nondo za kila aina na hawanaga maringo hivi...
Acha mambo yako mkuu..hata kama story yako huwezi ukawafanyia hivi raia...Kama vipi potezea tu hata story yako maana maringo yamezidi wakati mwanzoni uliahidi kuweka kila kitu...wewe
konda msafi na
Habibu B. Anga wa VIPEPEO WEUSI hamna tofauti..Mnaanzisha story halafu mnaziachia kati kisa tu watu wameonesha mwitikio mkubwa..Acheni kuvimba...Hivi ushajiuliza ni psychological torture kiasi gani mnazowapa raia kwa huu ukatili unaotaka kuufanya...life is hard, watu wana stress na umepewa uwezo wa kuandika kisa chako na watu wanafarijika angalau wanapata relief na kuenjoy halafu from no where tu unakuja na story eti naishia hapa sijui ni ndefu toka 2008 hadi 2012....Ulilazimishwa kuileta? HAPANA, ulileta kwa hiari yako basi imalizie..Binafsi sikubembelezi wala sikulazimishi na nakairi kuwa naipenda na naifatilia story yako kwa sana, ila kama unaiendeleza usilete summary, kama unataka kuleta summary ni bora ubaki nayo tu na ikiwezekana mods waifute kabisa maana haimake sense...Kuanzisha kitu na kukiacha njiani huku watu wapo serious nacho ni mambo ya kishamba sana krnne hii tena kwa mtu mwenye exposure na educated kama wewe..
Big up sana kwa
KigaKoyo na
JBourne59 ...Mnajua kuwapa kitu wapendacho watu wanaotenga mda wao kufatilia story zenu...
UNABOA MKUUUUUU....Ni mimi Balozi wa watu wote wanaokerwa na tabia zako za sitaki na taka..