Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa usafi hawajafikia wa kwetu , ila sio wachafu maana tamaduni tofauti wao wanatumia sana toilet paper wakati bongo demu akikojoa tu lazima anawe na majiWanasema ni wachafu pia hawaogi...
Kaka kwa jinsi ninavyoyaona matako ya khumbu kwa imagination tu,hata ingekuwa wewe ungelia kaka.matako kama hayo yapo machache sana duniani(bongo kwa mbaaaaali poshy queen analo)Unalizwa mapenzi tena we jamaa vipi ?
Dah ina maana we matako huangalii kabisa??? Dah nimesikitika sana kaka,ingekuwa upo jirani yangu ningekuzaba kibaoAaaahhh basi kama ni hivyo nikionda huko ntazalisha kama njugu shwain ugonjwa wangu nguo fupi tu
sasa hawa wa bila kunawa si ukiweka ulimi unaskia chumvi chumvi tu!Kwa usafi hawajafikia wa kwetu , ila sio wachafu maana tamaduni tofauti wao wanatumia sana toilet paper wakati bongo demu akikojoa tu lazima anawe na maji
😂😂mkuu nisamehee nguo fupi bila tako nikama kibanda cha voda wakalaDah ina maana we matako huangalii kabisa??? Dah nimesikitika sana kaka,ingekuwa upo jirani yangu ningekuzaba kibao
Ndo yeye. Wa kawaida sana.Mleta uzi kumradhi kwa sofa za Khumbu imebidi tu nimtafute nimuone. Tell me this is not her. Moja ya picha yuko na kale ka gari kale kekundu ulikotuambia. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1707702
View attachment 1707703
View attachment 1707705
View attachment 1707706
HahahahaBila episode ya 071 natangaza rasmi kujitoa kwenye hii siredi, sasa naweza kuiita porojo kama porojo zingine tu!
Na mtaalamu Konda msafi.Mambo yote kwa madiba
Naomba hadithi za hawa wakuu KigaKoyo na JBourne59Hapa JF watu ninaowakubali katika kusimulia hadithi bila kukatisha wala kuwaacha raia njia panda ni KigaKoyo na JBourne59 ...Big up sana kwa hawa wakuu..wanasimulia kila tukio na wala hawataki kuumiza hisia za wengine..
Sio unakaa unaanzisha story then baadae unakuja kusema unaikatisha..Mambo gani haya..hata muda huu unapoisimulia najua utakuwa unaskip baadhi ya vitu ili tu uimalize uwaridhishe raia lakini toka moyoni mwako najua spirit ya kuandika imekutoka...Watu wamekaa kuisubiri halafu unaikatisha, then from no where unasema unaleta summary, why didn't u summarize in one page toka siku ya kwanza kama ulikuwa unataka kuleta summary?
Hadi ubembelezwe, watu walielie ndo ujisikie kuendelea.. Leo ndo umejua kama inakula muda. Kwani lazima uimalize leo? Mbona kina KigaKoyo na JBourne59 huwa wanaleta atleast 2 episodes per week..Ni episodes ambazo zinakuwa zimejaaa nondo za kila aina na hawanaga maringo hivi...
Acha mambo yako mkuu..hata kama story yako huwezi ukawafanyia hivi raia...Kama vipi potezea tu hata story yako maana maringo yamezidi wakati mwanzoni uliahidi kuweka kila kitu...wewe konda msafi na Habibu B. Anga wa VIPEPEO WEUSI hamna tofauti..Mnaanzisha story halafu mnaziachia kati kisa tu watu wameonesha mwitikio mkubwa..Acheni kuvimba...Hivi ushajiuliza ni psychological torture kiasi gani mnazowapa raia kwa huu ukatili unaotaka kuufanya...life is hard, watu wana stress na umepewa uwezo wa kuandika kisa chako na watu wanafarijika angalau wanapata relief na kuenjoy halafu from no where tu unakuja na story eti naishia hapa sijui ni ndefu toka 2008 hadi 2012....Ulilazimishwa kuileta? HAPANA, ulileta kwa hiari yako basi imalizie..Binafsi sikubembelezi wala sikulazimishi na nakairi kuwa naipenda na naifatilia story yako kwa sana, ila kama unaiendeleza usilete summary, kama unataka kuleta summary ni bora ubaki nayo tu na ikiwezekana mods waifute kabisa maana haimake sense...Kuanzisha kitu na kukiacha njiani huku watu wapo serious nacho ni mambo ya kishamba sana krnne hii tena kwa mtu mwenye exposure na educated kama wewe..
Big up sana kwa KigaKoyo na JBourne59 ...Mnajua kuwapa kitu wapendacho watu wanaotenga mda wao kufatilia story zenu...
UNABOA MKUUUUUU....Ni mimi Balozi wa watu wote wanaokerwa na tabia zako za sitaki na taka..
kwani khumbu amekufa?demu akiwa fundi kunako 6x6 lazima mchizi yoyote timamu awe chizi kimtindo!
R.I.P Khumbu... "🍑tako lako kama la masogange konda msafi hatalisahau kamwe 😑"