Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nataka niende haraka haraka ili hiki kisa nikimalize. Maana hiki kisa kilijiri kutokea 2008 mwezi wa pili au wa tatu hadi 2012 October nilipoamua kurudi nyumbani baada ya kuona nitakufa bure kisa Khumbu. So, nitakuwa naongelea matukio ya muhimu tu. Naomba niyapange hapa haya matukio ili kama kuna tukio nitalisahau mnikumbushe.
Matukio ni kama ifuatavyo.
1. Nilihama kule kwa masela baada ya chuo kuanza chuo, hivyo nilifulia ile mbaya
2. Baada ya kuanza chuo penzi letu liliyumba sana
3.Kuna siku nilimfukuza Khumbu ili nimkamate nimrudishe ndani nimpige miti nikiwa na boxer tu, nilikuwa kama akili zimeniruka.
4. Kuna siku Khumbu nimempanga nije nimle, hela niyokuwa naitegemea kumkirimu masela wakapita nayo, maana nilianza kukaa gheto na masela mavi.
5.Kuna siku Khumbu alitaka kunipeleka polisi baada ya kumpa kibano na matusi juu.
6. Kuna siku Khumbu nilimkuta na mshikaji wanatoka supermarket nilidondosha chozi.
7. Kuna siku nilifanya jaribio la kumla 071 akaridhia ila nikashindwa mwenyewe.
8. Kuna sehemu nilipata kazi province nyingine nikamtumia nauli Khumbu aje ili tufanye yetu, nauli akala na hakuja
9. Kuna siku nilipigiwa simu nikitishiwa kupigwa risasi.
10. Siku naondoka South Africa ilikuwa siku ya majonzi kwa Khumbu.
10. Naona kama inanigusa mimi hebu ielezee ilikuaje
konda msafi
 
mkuu leta mambo, maana story ya Khumbu imekuwa kama starter
, asbh lazima upitie kidogo, mchana pia lazima upitie uzi kama kuna episode mpya, na ucku spisode ya kulalia.

Tumeweka kambi hapa, Jamaa wa kukataa mtoto naona episode zimeisha so hatuna mbadala tena zaidi Khumbu.
 
Nimefika hapa zilipo ofisi za zaman za Nelson Mandela na huu mnara wake kwenye haka kamlima, namsaka Khumbu
 
Back
Top Bottom