Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Yule wakukata mtoto kanilaza saa 8 huyu naye wa leo kanishindisha jumuiya hata chai sijanywa konda msafi
Halafu utasikia wapuuzi eti watanzania hatupendi kusoma
 
Yule wakukata mtoto kanilaza saa 8 huyu naye wa leo kanishindisha jumuiya hata chai sijanywa konda msafi
Halafu utasikia wapuuzi eti watanzania hatupendi kusoma
Ila jumuiya jamani[emoji23][emoji23][emoji119]
Bora huyu mwenyekiti wetu mpya. Wa zamani alikua ananiudhii. Anaitisha majina. Yaani nina x kama miambili hv...
 
Mkuu nimempata khumbu, kweli ni pisi kali nimekubali.. Na katoto kake kale kakike.. anyway siwezi kumpost maana hujaridhia.. Jamaa ake yule alikuja kufariki.. naomba niishie hapo[emoji1784][emoji1784] Tupe mambo tupe mambo mkuu@Kondamsafi
Nitumie pm mkuu nisindikelize story na picha
 
Vitu ambavyo navisubiri kwenye uzi huu ni picha ya khumbu katika High Definition na ile sehemu ya stori ambapo mleta mada alikuwa na nia ovu ya kumlawiti khumbu bila
Na wewe unataka uungane nae kumlawiti khumbu kimawazo?
 
Ila jumuiya jamani[emoji23][emoji23][emoji119]
Bora huyu mwenyekiti wetu mpya. Wa zamani alikua ananiudhii. Anaitisha majina. Yaani nina x kama miambili hv...
Sasa kuna mwingine huko kaleta movie kabisa iliyotengenezwa Pretoria. Hata ana mwandiko kama wa Konda
 
Nimepitiliza kituo asee,huyu Khumbu ni matata
 
Mambo yanaanza kuwa mazito haya, printer atakubalii kukichapisha hiki kitabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…