Bro kwema? Hivi ilikuaje mpaka lile jukwaa pendwa linafutwa na wewe unatazama tu? Yaani kukosekana lile jukwaa tunakosa mambo mengi sana! Hakuna namna tunaweza kumvaa Max aturudishie jukwaa letu?aisee konda kama umeishiwa na bundle useme
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah utateguka nyonga weweTangu juzi najifunza style ya kukunguta ..kiuno hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni khumbu aitwe khumbu
Unabana miguu ili isaidie nn?Hapa nilipo nimebana miguu Kama [emoji23][emoji23][emoji23]
Muda si mrefu tunahamia sauzi kwa watoto wa kizulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haiwekani khumbu atushinde..tukifanya masikhara wachumba zetu watahamia south ivyo
Mimi mwenyewe hata sijui najikuta tuUnabana miguu ili isaidie nn?
Mende wengi Sana humu JF .Mzee we endelea kuleta vitu... Hapo kwenye 071 ndio penyewe usipaache.... Labda kama utapunguza ukali wa maneno...
Mkuu unaweza kuiedit iyo episode kuondoa ayo maudhui. Fanya ivyo mkuuNimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
Mm anilete kvant kubwa, bitter lemmon na maji makubwa ya baridi... jikoni waniandalie mbuzi choma na na ugali nyama iwe na mafuta futa kidogo asisahau limao na pilipili, kachumbali kama ipo aweke...Acha tuendelee kula vtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ni mawe juu ya mawe yaani
Hapa khumbu
Kule mwandende ni fayaaa
Waiter kitimoto kilo 4 plz
Mkuu hakuna mtoto humuWote mnaofatilia huu mkasa. Naomba niwaombe samahani sana kwa kuongelea mambo ya chumbani. Najisikia vibaya kuwa so explicit. Natamani kuifuta hiyo episod ya chumbani maana najisikia hatia kidogo. Unajua binadamu tuna ile nature flani ya kutambua kama kuna kitu flani umekifanya hakiko sawa kinakufanya ujisikie vibaya. Na huenda humu kuna wasomaji hawajakifurahia hicho kipengele cha mambo ya chumbani, kama wapo naomba wanisamehe na ikiwezekana tunaweza tukawaomba na moderators wakakifuta hicho kipande. Ila kama hakuna mtu aliyekwazika na hicho kipande basi tuendelee na episodi nyingine ingawa mimi binafsi sitaongelea tena mambo ya chumbani. Kwa maana hiyo hata kile kipengele cha 071 zitakielezea tena. By the way hakuna mtu aliyenifata na kuniambia labda hicho kipengele sikutakiwa kukiandika bali ni mimi tu nimejisikia vibaya.
Mambo ya telagram yameanza tayar na wenzio wanaanzaga hivi hivi Mara bando sinaNimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
Konda na Wewe sasa hueleweki.Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
Hapana mkuu. Hiki kisa niliamua nikishare hapa kwa nia safi. Huko telegram hata sipajui. Kwa hiyo hatuwezi kwenda sehemu nisiyoijua.Mambo ya telagram yameanza tayar na wenzio wanaanzaga hivi hivi Mara bando sina
very true alichokuambia hahahahaha nakumbuka mbali sana ughaibuni acheni tuu mambo mengi hawa viumbe hata ukutane nao Europe wana behave hivyo watoto wa mzansi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaendelea...
Nikawa naumiza kichwa ni namna gani naweza kumtafuta na kuonana na Khumbu bila Sandile kujua. Pia nikawa najiuliza kumtafuta ni swala jingine na kukubali kuonana na mimi nalo ni swala jingine. Kumbuka mara ya mwisho kuwasiliana naye ni kipindi nilipomtolea matusi mpaka akanitishia kunipeleka mahakamani, na mara ya mwisho kuonana ni pale tulipokutana workshop akiwa kabambiwa na msela. Nikawa hata sielewi cha kufanya.
Kwenye yale maeneo ya kuonyeshea mpira kwa ajili ya public pia kulikuwa na maonyesho ya bidhaa mbalimbali kama vile inavyokuwa maonyesho ya sabasaba pale Kilwa road. Kulikuwa na shughuli nyingi tu zinaendelea na watu walikuwa wanajaa hasa. Kabla ya mpira kuanza kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali locally and internationally wanatumbuiza kwa zamu.
Sandile alikuwa anatoka na kwenda kutafuta matukio kwa ajili ya kuripoti kwenye gazeti hivyo muda mwingi alikuwa akitoka toka na kuniacha peke yangu kwenye tent la VIP, haimaanishi kabisa kuwa nilikuwa nabaki peke yangu, si mnajua burudani ya world cup, lazima upate company nyingi tu humo mnaoshabikia timu moja. Nakumbuka ile siku mchezaji wa Ghana alipokosa penalty kwenye robo finali, tent zima tulijikuta tumekuwa kitu kimoja tunaomboleza. Ilikuwa ni majonzi, ninachotaka kusema hapa company ilikuwa ya kutosha hata pale Sandile alipokuwa ameenda kutafuta matukio.
Kuna muda Sandile alitoka kwenda kutafuta matukio nikaona huu ndio muda wa kumtafuta Khumbu. Nikapiga simu akapokea, nikamwambia nipo hapa kwenye hii sehemu wanapoonyesha mpira kwa ajili ya public kama hatojali tuonane. Akasema yeye yupo nyumbani anachekia mpira nyumbani.
Nikamwomba aje huku tuonane. Akasema anakuja ila akasema tukutane huku kwenye shopping mall hivi iliyokuwa pembeni mwa hiyo sehemu tuliyokuwepo. Basi mimi fasta nikachomoka kwenda kwenye hiyo mall. Akanipigia simu kunielekeza upande tutakaokutania. Basi nikawa nimefika sehemu ya tukio nikawa namsubiria. Haijapita muda nikamuona kwa mbali akija akiwa na rafiki yake. Walivyofika Khumbu akanitambulisha kwa rafiki yake kama mimi ni mtu wake.
Khumbu alikuwa amevaa kikaputula cha jean na jezi ya timu ya taifa ya South africa. Alikuwa amependeza hatari. Kile kikaputula kilikuwa kimemkaa vizuri hatari. Tako lilikuwa linaning'inia kama mzinga wa nyuki. Haraka haraka nilinotice Khumbu amebadirika sana kimuonekano, hakuwa Khumbu yule niliyekutana naye kwa mara ya kwanza.
Alikuwa na muonekano mmoja wa matawi wa juu. Unajua mwanamke anayejijua status yake, anayejijua thamani yake kuna namna flani ana behave kuonyesha ni quality. Halafu nikimcheki tu hata ngozi yake unaona kabisa huyu kwa sasa life lake lipo njema. Kichwani alikuwa amebana nywele zake hivyo kumfanya kuonekana ana sura ndefu nyembamba amazing. Basi baada ya utambulisho akapendekeza tuingia ndani ya mall tutafute sehemu tukae tuongee.
Tukaingia ndani, akamwomba rafiki yake atupe privacy ili tuongee mambo yetu. Tuliongea mengi ila kubwa akaniambia kwa sasa kama ninamtaka nifanye mpango wa kumuoa. Akasema haitaji tena mahusiano ya kutiana tu. Akaniambia nitafute pesa, au nisubiri nimalize chuo nipate kazi. Nakumbuka alisema haya maneno. "Babe South african girls need money". Akaniambia akipata nafasi atanitembelea ila nizingatie alichoniambia. Tukaagana, nikarudi zangu kuendelea kuangalia mpira.
Shem bebe ni wewe huyu kabisaWe gusa kila kitu
Kama kuna wachungaji na mashekh thread za dini zipo nyingi waende uko
Apo pa 071 ndo hutakiwi kupavuka kabisa
Nimekuelewa mwana. Hapo kwenye kuniambia uboya wala usihofu maana hizo ndio zilikuwa lugha zetu huko Dizonga. Kule mnaongea kwa kutukanana na ni sehemu ya mawasiliano. Ukiwa mshamba unaweza ukawa unagombana na watu kila siku kwa kudhani wanakutukana kumbe watu ndio ongea yao. Kipindi niliporudi bongo nikawa naongea na watu kwa mtindo huo, si unajua mazoea yana tabu. Watu wakawa hawanielewi ila nilikuja kubadilika baadae baada ya kutambua sasa nipo bongo na sio Sauzi tena. Stori itaendelea usijali, acha nipate utulivu kwanza.Konda na Wewe sasa hueleweki.
Topic inazungumzia mapenz, Mwanzo hadi mwisho. Anayekuja ku soma uzi wa mapenz ategemee nini sasa zaidi ya kukutana na mambo ya mapenzi.
Sasa, ww sijui unakwazika nini hasa? Yaani ishu ya mapenz unataka uzungumzie mpira badala ya mapenzi?
Topic ni ya mapenz, ukizungumzia mapenz unakuwa umemkwaza mtu? Huoni kutokuzungumzia mapenz kwenye mada ya mapenz ndo utakuwa umewakwaza wasomaji?
Halafu, hii forum tena tupo anonymous mtu akiona hii topic inamkwaza si anaenda kusoma uzi za jukwaa la siasa, ama historia? Kwa nn aje akwazike na mapenz kwenye topic ya mapenz?
Ingekuwa topic ya mpira ndo unazungumzia mapenz ndo ungejisikia vibaya labda kidogo!
TULETEE story acha uboya! (Sijakutukana nimekupa live tu kama mwanetu)
Nasubiri kusoma comments zinazoshushwa na wana wa Adam baada ya hii post yakoNimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.