Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Wote mnaofatilia huu mkasa. Naomba niwaombe samahani sana kwa kuongelea mambo ya chumbani. Najisikia vibaya kuwa so explicit. Natamani kuifuta hiyo episod ya chumbani maana najisikia hatia kidogo. Unajua binadamu tuna ile nature flani ya kutambua kama kuna kitu flani umekifanya hakiko sawa kinakufanya ujisikie vibaya. Na huenda humu kuna wasomaji hawajakifurahia hicho kipengele cha mambo ya chumbani, kama wapo naomba wanisamehe na ikiwezekana tunaweza tukawaomba na moderators wakakifuta hicho kipande. Ila kama hakuna mtu aliyekwazika na hicho kipande basi tuendelee na episodi nyingine ingawa mimi binafsi sitaongelea tena mambo ya chumbani. Kwa maana hiyo hata kile kipengele cha 071 zitakielezea tena. By the way hakuna mtu aliyenifata na kuniambia labda hicho kipengele sikutakiwa kukiandika bali ni mimi tu nimejisikia vibaya.
Hapo ndio unataka kuharibu sasa. Mkuu hamna mtoto humu, we tiririka tuu, stori bila kugusia hayo maeneo haitanoga. Endelea ivoivo ili iwe na package ya kutosha.

Mbona LwandaMagere alikuwa anaweka mpka scene za shipa za kimkakati na ndio zilizonogesha mkasa mzima.
 
Binafsi nlikwazika [emoji849], maana inabadilisha hata dhamira ya uzi.

Ukifika vipande kama hivyo unaweza sema tu kuwa tukafanya yetu, hapo inaeleweka, sio kuanza kueleza mambo ambayo hayakuwa na umuhim

Kumbuka kumbukumbu zitabaki milele hapa hata ukiwa tayari usharudi kwa Muumbaji Mungu mfalme.

Binafsi nimefurahishwa na kujitambua kwako, na kuwataka radhi wafwatiliaji wa uzi wako huu mzuri.
 
Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
 
Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
Mnaona sasa? Sasa leo sijui tutasoma nini hapa, mkuu ukikaa vizuri tubariki na episode kadhaa hata za kufungia siku baadaye baadaye huko.
 
Back
Top Bottom