Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mbona mimi ni mwana Lejio Maria sijakasirika. Wako Moyo Mt. Wa Yesu nao vivyo hivyo... Mama Anna.. wote hatujakasirika kabisa. Labda kama umemkumbuka Khumbu wako tu ukapata uchungu. Ukianza kukusanya nauli nishtue nikuchangie uende kumchukua[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
 
Malaika wa zamu wanafanya ukaguzi wa sredi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushaanza mazinguzi Mr konda msafi
Nahisi Khumbu na konda msafi ni waathirika wa vvu maana hata sehemu moja haongei juu ya kings wanapongonka. Kwa nini use huru kiasi hicho hata kama mmepotezana muda mrefu mnacheza peku. 15% ya wasichana ni positive, anyway tuendelee si ajabu hii ni hadithivya kubuni ila anajaribu kuona audience inampokeaje hadithi zake mhusika.
 
Wazee wa fordsburg
Ndani ya gauteng jozi


Tuje maeneo tutakutana marshalltown




Maisha ya sauzi kama bongo akaunti inasoma milioni 50 mpaka 100.na unaweza kulipa kodi kuanzia laki 6 basi kule unaweza kuishi maisha mazuri na michongo kibao.
Ila tahadhari wabongo asilimia 90 sio watu huko wanaweza kukutoa kwenye ramani hata ujilani nao mbali kabisa.

Kuna pisi za kufa mtu na chai ya moto (ukimwi) maana baridi tu litakufanya huwe mlevi au mpenda chini.
 
Umeona umletee lugha za huko kwa zulu mtaani kwa msisitizo
 
Nimecheka sana, jamaa anaomba msamaha kwa kuingia deep mambo ya chumban, wajuba wanashangaa jamaa anaomba msamaha wa nini, tena wajuba wanasisitiza kipengele cha 071 kibaki kweny stori km kilivyo, tena wengine wamesisitiza kbs akitoa hicho kipengele hawatafuatilia hii stori tena, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji53]
 
Hichi kipande nmekisoma kwanza nmedinda sana yaaan alaf nmesisimka hadi mapigo ya moyo yakanienda kasi,,
 
Mpunga unao watafute mapisi makali yapo mengi tu tena wa umri was below 24 na above 19 wapo wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…