Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kusitisha simulizi kwa kisingizio cha kujisikia vibaya, japo hatujakutuma ila tunaweza kutafsiri kuwa umeanza majivuno na kuvimba.

Utapata laana bwa’mdogo, kujipatia mashabiki wa kaliba yangu sio kitu cha kuletea mzaha hata kidogo.

Bila kupepesa maneno, nimezunguka sana ila lengo ni kukwambia uache ujinga.
Huyu ndio mbongo halisi!!
 
Binafsi nlikwazika [emoji849], maana inabadilisha hata dhamira ya uzi.
Ukifika vipande kama hivyo unaweza sema tu kuwa tukafanya yetu, hapo inaeleweka, sio kuanza kueleza mambo ambayo hayakuwa na umuhim
Kumbuka kumbukumbu zitabaki milele hapa hata ukiwa tayari usharudi kwa Muumbaji Mungu mfalme.
Binafsi nimefurahishwa na kujitambua kwako, na kuwataka radhi wafwatiliaji wa uzi wako huu mzuri.
Huu uzi ni international!! Hivyo una mashabiki wengi na wa aina tofauti tofauti, hivyo uki balance ni vema zaidi na utabamba kila mtu.
Kwani ni lazima kuchangia ww boya?
kwanini usipite kimya kimya, mara ukosoe
ninyi ndio mnamkwaza konda msafi acheni atoe story yake mpaka mwisho na ikiwezekana ikae Post #1
lete ya kwako basi km hii imekukwaza ukashindwa kwenda Jukwaa la DINI?
MODERATOR tunaomba Jukwaa lile la watu wazima lingetufaa hawa watoto wa chekechea na walokole wabakie huku.
Sio kila post kuchangia sasa mmeshaharibu week end yetu,
wengine tukipitia humu tunaondoa stress zetu
 
Nahisi Khumbu na konda msafi ni waathirika wa vvu maana hata sehemu moja haongei juu ya kings wanapongonka. Kwa nini use huru kiasi hicho hata kama mmepotezana muda mrefu mnacheza peku. 15% ya wasichana ni positive, anyway tuendelee si ajabu hii ni hadithivya kubuni ila anajaribu kuona audience inampokeaje hadithi zake mhusika.
Kwakwambia nani? Mambo ya VVU hayatuhusu sisi ni story, dogo kwani hujui kuwa nzi hufia kwenye kidonda na ogopa sana kupenda na penzi likakufanya ukawa mtumwa kuna watu huwa wanachanganyikiwa na kuacha hata kazi
 
Nimecheka sana, jamaa anaomba msamaha kwa kuingia deep mambo ya chumban, wajuba wanashangaa jamaa anaomba msamaha wa nini, tena wajuba wanasisitiza kipengele cha 071 kibaki kweny stori km kilivyo, tena wengine wamesisitiza kbs akitoa hicho kipengele hawatafuatilia hii stori tena, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji53]

Sasa je, unajisikiaje kuoneshwa sato mkubwa kisha ukatengewa dagaa!!
 
Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
Pole sana Mkuu Mchuzi umeshaharibu Pilau lote, tulia yakipoa uendelee lkn sijui ukiommit hizo starehe za kitandani utaona mtu watasepa wote
Mungu akujalie utoe Kitabu kitanunuliwa tu, ingawa wapingaji ni wengi
 
Wote mnaofatilia huu mkasa. Naomba niwaombe samahani sana kwa kuongelea mambo ya chumbani. Najisikia vibaya kuwa so explicit. Natamani kuifuta hiyo episod ya chumbani maana najisikia hatia kidogo. Unajua binadamu tuna ile nature flani ya kutambua kama kuna kitu flani umekifanya hakiko sawa kinakufanya ujisikie vibaya. Na huenda humu kuna wasomaji hawajakifurahia hicho kipengele cha mambo ya chumbani, kama wapo naomba wanisamehe na ikiwezekana tunaweza tukawaomba na moderators wakakifuta hicho kipande. Ila kama hakuna mtu aliyekwazika na hicho kipande basi tuendelee na episodi nyingine ingawa mimi binafsi sitaongelea tena mambo ya chumbani. Kwa maana hiyo hata kile kipengele cha 071 zitakielezea tena. By the way hakuna mtu aliyenifata na kuniambia labda hicho kipengele sikutakiwa kukiandika bali ni mimi tu nimejisikia vibaya.
Hamna alokwazika kumbhu si hayupo bongo lete hiyo ya kula jicho mkuu usiaache,kuna wengi wanasubiri hicho kipengele[emoji2]
 
Mbona mimi ni mwana Lejio Maria sijakasirika. Wako Moyo Mt. Wa Yesu nao vivyo hivyo... Mama Anna.. wote hatujakasirika kabisa. Labda kama umemkumbuka Khumbu wako tu ukapata uchungu. Ukianza kukusanya nauli nishtue nikuchangie uende kumchukua[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Utanishtua mama kwenye kumchangia nauli watu wanajifanya malaika humu
 
Ngoja niendelee kurecord mastaili

Apa nimepata ingine [emoji16][emoji16]

Unaiweka alafu unafanya kama unakung'uta sisimizi ivii [emoji848][emoji16][emoji16]
 
Asipoelezea aliikosaje tigo namfungulia kesi ya kujipatia umaarufu kwa njia ya udanganyifu. Wazee wenzangu tumefuatilia hilo tu kujua vijana huwa mnavifanyeje

Huyu ashalewa umaarufu, tayari mdudu keshaingia kwenye embe![emoji53]

Jana usiku sijapiga miti kisa stori halafu analeta mzaha!!
 
Back
Top Bottom