Huyu ndio mbongo halisi!!Kusitisha simulizi kwa kisingizio cha kujisikia vibaya, japo hatujakutuma ila tunaweza kutafsiri kuwa umeanza majivuno na kuvimba.
Utapata laana bwa’mdogo, kujipatia mashabiki wa kaliba yangu sio kitu cha kuletea mzaha hata kidogo.
Bila kupepesa maneno, nimezunguka sana ila lengo ni kukwambia uache ujinga.