Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Yaani wewe ni mshamba Kama Id yako ilivyo ya kishamba
 
Enheee lete mambo sasa..... Ila unaposema ulitest kula 071 inaonekana ulishidwa....[emoji1][emoji1]
 
Asee unataka ugomvi na watu
 
Mods, tu-update, tangu huu uzi uanzishwe nearly three days ago umetembelewa na watu wangapi?
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
 
Kuna mtu aliomba link
Episode 6 zimeisha
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
Mkuu unahatarisha usalama wangu humu[emoji29] naomba mods waniongezee ulinzi kama hutaelezea hiko kipengele hali ya usalama wangu hapa itakuwa ndogo sana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…