AVRAM
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 616
- 885
Stori iko vyema na comments za wadau zinafurahusha mnooo. Yaani mdau anakasirika kisa konda msafi anataka kupunguza baadhi ya scene kwa lengo kudumisha staha na furaha ya wadau wanaokerwa na scene zisizotumia tafsida hata kidogo.