Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nashangaa mnaninyoshea kidole kanakwamba mimi ndo nlikuwa namfanya khumbu awe hayupo active sana kwa konda msafi

Seems watu humu ndani mnapenda sana uzinzi si wanawake si wanaume, sasa jamaa akielezea xxx kwenye uzi mnafaidika nini kama sio kuchukua sabuni na kufanya yenu? Kesho mnakuja na nyuzi ati nguvu za kiume zimekata,

Vijana acheni ngono haina faida yoyote ni kujilisha upepo.
Kwani wewe boya umeitwa uku ili ni jukwaa la MMU kama unahubiri nenda jukwaa la dini.
 
Kuanzia juzi hapa JF pamekuwa patam sana, kuna nyuzi kama 3 hivi nkiingia lazima nizipitie.
1.hii ya khumbu
2.Jamaa anaye mkataa mtoto rasmi.
3.ya mzee wetu Mwitore na bi mdogo wake.

Yaani mambo ni Hot no Stress.
Izi 2 na 3 naweza kuziapta jukwaa lipi mkuu?
 
Back
Top Bottom