heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Shusha vitu mkuu icho kipengele kitafutwa after a week kingine hakuna atakae kujua. Shusha mavituzz hahaaa watu tigo tigo .ila khumbu popote alipo achukue heiken catton nzima ntalipaHabari wakuu? Nimepitia comments za wadau na kuona karibia kila mtu anataka nisikiruke kipengele cha 071. Halafu nimeona hii thread imepata view nyingi sana. Kulingana na watu wengi kuonyesha kutaka kipengele tajwa nikiweke, nimeona haina budi nikiweke. Ila ningeomba moderators waufute huu let's say baada ya wiki hivi. Maandishi yanadumu, vizazi na vizazi vitakuja kusoma huu uzi na nisingependa uzi huu uwe sehemu ya kuhamasisha hicho kitendo ingawa kitendo chenyewe hakikufanyika. Sasa sina uhakika kama moderators watakuja kuufuta huu uzi au ndio watauacha uendelee kuwepo daima.