Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Stori iko vyema na comments za wadau zinafurahusha mnooo. Yaani mdau anakasirika kisa konda msafi anataka kupunguza baadhi ya scene kwa lengo kudumisha staha na furaha ya wadau wanaokerwa na scene zisizotumia tafsida hata kidogo.
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
Mkuu unakwama...ukitaka kuelezea kitu elezea tu..umeahidi halafu unagairi..haina maana sasa hii story yako....bora usingesema since day one
 
kwa utulivu nilio kua nao na speed ya 5G nimefatilia story yote pamoja na comments za wafatiliaji konda msafi shusha mzigo kama ulivyo kwenye 6×6 hapo usiache kinachokuja unakiweka hizo hasira za watu wengi zipuuze
alfu kumbuka unaongelea penzi la Khubu sasa unataka kutupa sembe au mikutano yenu yunataka tusikie moto unavyo pelekwa kwa mtoto khubu

wale wazee wa kujifanya wastaarabu pelekeni kweny familia zenu kudadeq

tumewekeze hapa alfu mnaleta mambo mengine ya nini

baba peleka moto kumbuka ulituwakilisha vyema [emoji23][emoji23]
 
Nashangaa mnaninyoshea kidole kanakwamba mimi ndo nlikuwa namfanya khumbu awe hayupo active sana kwa konda msafi

Seems watu humu ndani mnapenda sana uzinzi si wanawake si wanaume, sasa jamaa akielezea xxx kwenye uzi mnafaidika nini kama sio kuchukua sabuni na kufanya yenu? Kesho mnakuja na nyuzi ati nguvu za kiume zimekata,

Vijana acheni ngono haina faida yoyote ni kujilisha upepo.
Acha porojo wewe,kaa kwa kutulia..nyeto haijawahi kuwa kisababishi cha ukosefu wa nguvu za kiume.
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.

Kuna mchawi kashaharibu uzi, anyway mabaharia wenzangu mimi naishia hapa uzi ushapoteza ladha.
 
Woyoooooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Story zangu hizi ... Mleta thread upewe ulinzi tafadhali ....

Halafu Kama nimeanza kujikuta nam-crush Huyo khumbu [emoji16][emoji16][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hamna mkuu Khumbu angekuwa bongo ni mke kabisa wa kutupa ndani,alidumu na mwana balaa. (Japo sio muumini wa kuoa)
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
Ni bora ukitumia tafsida ila sio kuchuja matukio muhimu kama hayo,
 
Back
Top Bottom