Haahaaa khaaaPimbi wewe unatafuta nn kwenye hili jukwaa? Au hujaona jukwaa la dini ,yaan mijitu mingine sijui mpoje ,yaan Kila sehem lazim awepo kimeo mmoja .
Kwanza jukwaa linahusu Nini hili Hadi ulete usenge wako huo we kima?
Kafie mbele huko ,usitake kupangia watu namna ya kuishi ,sema bahat nzur umekutana na msimulij mstarab ingekuwa mm ningekupa makavu live ,coz umevamia uzi alaf unajufanya kuleta usnitchi .jaribu kubalance shobo we kima[emoji867][emoji867]
NdioPicha ya nani mkuu? Ya khumbu?
Lala tuDu mkuu saa Saba hii nataka kulala
[emoji848][emoji848][emoji848]Inaendelea...
Nikawa narudi kuelekea kwenye gari maana aliyeniita tayari nimeshamjua. Alikuwa huyu jamaa yangu muuza sembe. Nikamfikia, akanionyesha kwa ishara nizunguke upande wa pili niingie kwenye gari. Akaniambia kuna pisi yake ameifata hapo kwenye lile ghorofa la hostel za chuo.
Nikajua tu mwamba anakula mwanachuo mwenzangu. Tulipokuwa ilikuwa ni mita chache tu kufika kwenye hiyo hostel hivyo akakanyaga mafuta na kujisogeza hapo. Kama sekunde chache nikamuona demu anatokea kwenye lile jengo anakuja sehemu tuliyokuwepo, inaonekana tayari alikuwa ameshapigiwa simu na anamsubiria tu jamaa. Jamaa akamfungulia mlango akakaa siti ya nyuma. Mimi nikaendelea kukaa siti ya mbele.
Tokea nimehamia hiyo sehemu jamaa alikuwa hajawahi kufika hivyo akasema acha apite mara moja apajue ninapokaa. Akageuza kipira tukaelekea getoni kwangu. Tukafika home, tukashuka tukamwacha demu kwenye gari. By the way ilikuwa pisi moja kali japo haiwezi kufikia kiwango cha Khumbu.
Tulipoingia ndani, jamaa akakiangalia chumba kisha akanitukana. "Halafu wewe mtoto mbona mshamba sana? Sasa ndio maisha gani haya? Tatizo lako kusoma hicho kichuo chako unajifanya maisha umeyapatiaaa, unatuona sisi ndugu zako tunaoshika haya madude hatufai. Wewe mtoto wa kiume utaogopaje jela? Mbona watu kibao tu wanasoma na wanafanya mishe zao? Hebu twende zetu nikakupe gheto ukae huko". Basi nikachukua baadhi ya nguo tukatoka, tukaingia garini tukasepa.
Jamaa akanipeleka kwenye suburb moja hivi nimeisahau jina lake. Tukafika kwenye complex moja hivi. Alikuwa na disc ya kufungulia geti. Akafungua geti tukachoma ndani. Akapaki gari, tukashuka ila demu akaendelea kubaki garini. Tukaingia mjengo mmoja hatari una kila kitu ndani.
Mjengo ulikuwa wa vyumba vitatu. Kila chumba ni master bedroom. Sebuleni kulikuwa na TV kubwa sana inatumia king'amuzi cha DSTv, ni vile ving'amuzi unavyoweza kurecord na kuona vipindi hadi vitatu vitakavyofuatia ukiponyeza kitufe cha info. Nyumba safi inanukia utuli. Halafu hakukuwa na mtu yoyote anaishi. Jamaa akanimbia utakaa hapa. Tukaagana, akaniachia remoti ya kufungulia geti na hela kidogo akasepa.
Itaendelea..
Nashangaa mnaninyoshea kidole kanakwamba mimi ndo nlikuwa namfanya khumbu awe hayupo active sana kwa konda msafi
Seems watu humu ndani mnapenda sana uzinzi si wanawake si wanaume, sasa jamaa akielezea xxx kwenye uzi mnafaidika nini kama sio kuchukua sabuni na kufanya yenu? Kesho mnakuja na nyuzi ati nguvu za kiume zimekata,
Vijana acheni ngono haina faida yoyote ni kujilisha upepo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseeeeMkuu tuendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
Huu Uzi Naona members wote wa jf wamehamia hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Tunapenda ngono Sana mamaee acha tufe tu [emoji16][emoji16]
Na ajengewe sanamu pale mwenge mataa liandikwe khumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa niaba ya wana jamii forum naomba konda mchafu apewe ulinzi wa kutosha
Kojoa hapo hapoNakojooooooooaaaaaaaaaaaaaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona huu uzi upo tuu unaweza kumaliza Majukumu yako ukaendelea kuusoma.Huu uzi umenifanya siku nzima hi nishindwe kuperform vizuri kwenye majukumu ya "watu"maana Nina kazi ya kuchungulia kila saa,aloo bwana konda msafi njoo tafadhali umalize watu tulale vizuri,maana hata Kama kazi za watu tumefanya poorly ndo tushindwe kulala jamanii??
Umeshakuwa enslaved.Tatizo uzi umekaa vizuri yaani roho hainipi kutulia mpaka nichunglie nifahamu nin kimeendelea[emoji23][emoji23]
Nadhani tuombe kipande cha ardhi pale magogoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Itafutwe sehemu konda msafi ajengewe sanamu ya kumbukumbu!!
Inasikitisha sana...ila anaongea unwell angeweza kutupiga kamba .Duh we jamaa mtu hujaonana naye muda mrefu,, halafu unapiga dakika 2 nguvu zinaisha unalala[emoji1][emoji1]
[emoji41][emoji41][emoji41]Nilikaa hapo kama mwezi hivi kabla sijamleta Khumbu. Nilipoyazoea mazingira na kujiridhisha kuwa haitakuwa issue sana kumleta Khumbu kwenye huu mjengo kikubwa tu nizingatie protocal nilizoambiwa na washikaji. By the way ilikuwa ni complex kubwa. Walikuwa wanaishi watu wa kada mbalimbali.
Kwa mfano jirani yetu alikuwa ofisa wa polisi mkubwa tu na alikuwa mtu wa stori sana. Alikuwa mshabiki wa machester united, pia sie mle ndani wote tulikuwa mashabiki wa Man u, enzi za akina Sir Elex Furgason. Siku Man U inacheza jirani yetu alikuwa hachoki kutugongea mlango kuja kushangilia ushindi pamoja. Pia ndani ya hiyo complex kulikuwa na mademu wawili pisi kali mtu na mdogo wake. Mdogo mtu nilipita naye ila mahusiano hayakudumu, nilimpiga chini fasta tu.
Siku moja nipo chuo nikaamua kumpigia Khumbu. Nikamwomba aje chuoni kuna kitu nahitaji kuongea naye. Kweli bila hiyana akakubali na akapanga atakuja kesho yake maana kwa leo ana ratiba zingine, nikaona kesho sio mbali, acha nivute subira.
Kesho yake mida kama ya saa nne asubuhi akanipigia ananiambia tayari keshafika chuoni. Nikatoka nje kumfuata maana chuoni huwezi kuingia bila kitambulisho cha chuo. Mageti ya chuoni yalikuwa yanafunguliwa kwa kutumia kitambulisho cha chuo. Kitambulisho cha chuo kilikuwa kipo kama kadi ya ATM hivyo kuingia lazima u-swipe ndio geti lifunguke.
Nikamfuata tukaingia na kuelekea kwenye mghahawa wa chuo (cafeteria). By the way Khumbu hakuwa mgeni na maeneo ya chuo maana alishawahi kuja pale mara nyingi tu kipindi niko mwaka wa kwanza, hata siku ya kujisajili nilikuwa naye.
Nikaanza kumweleza kuwa kwa sasa maisha aliyokuwa anayataka ninayaishi. Nikamkumbusha maneno yake aliyoniambia siku ile "South African girls need money". Kwa hiyo turudiane tu ili kama kweli tunapendana tuone maisha yatatupeleka wapi. Nikamwelekeza sehemu ninayoishi kwa sasa.
Kitendo cha kusikia hiyo sehemu ninayoishi alionyesha kubigwa na butwaa. Akaanza kuniuliza imekuwaje nimeweza kuishi kwenye suburb kama hiyo? Nikamwelezea nimeweza kuishi kwa hisani ya jamaa zangu wa workshop pia nikamwambia nina mishe zangu pia zinazoniingizia kipato. Kwa kuwa alikuwa anawafahamu wale masela wangu haikuwa shida kunielewa na hakuendelea kunidadisi sana. Nikamwomba twende zetu mjengoni.
Sikutaka tena kuendelea kubaki chuo maana nilikuwa na hamu naye kinyama. Na kwa jinsi alivyokuwa amezidi kunona kila nikimwangalia nilikuwa najisemea kwa sauti ya jiwe "hiiiii baghosha". Sio siri Khumbu alikuwa kazidi kuwa mrembo mara dufu. Sijui ni fala gani alikuwa anammliki mwenye fedha zake maana kwa muonekano wake na pamba alizokuwa kapigilia ilionyesha kuna mtu mwenye hela anamgharamikia.
Kila nikimwangalia kichwa cha chini kilikuwa kinatema vimajimaji nikajikuta kama naanza kujichafua. Mie machine ikisimama halafu nikiwa na uchu, machine huwa inatoa vimajimaji vyeupe vya kuteleza kama mlenda unavyoteleza.
Tukainuka hapo kuelekea kituoni kupanda daladala ya kwenda geto. Getoni kule kulikuwa na kila kitu kwenye fridge hivyo ilikuwa ni kwenda moja kwa moja bila kupitia supermarket kutafuta msosi. Njiani nilikuwa naona kama hatufiki au anaweza kughairi na safari. Hapo nawaza tu nitakavyomsasambua kiroho mbaya.
Nikaanza na kukumbuka kile kiapo nilichojiapiza siku ile workshop niliyomuona akiwa kakamatiwa na mshikaji. Kituo cha kushukia kilikuwa mbali kidogo na getoni, hivyo tulivyoshuka ikabidi tuanze kutembea kuelekea getoni. Hapo ndio nilipoanza kuliona tena tako la kuning'inia kwa mara nyingine.
Alikuwa amevaa sketi fupi ya mpira, hizi sketi za kuvutika. Sketi ilikuwa kama imepanda juu kwa kushindwa kuhimili mlima uliokuwa huko nyuma. Yaani kila nikimwangalia nasema hiii huyu atanikoma. Tukafika getini, uzuri nilikuwa pia nina rimoti ya kufungulia geti hivyo tukaingia kwenye complex kimya kimya bila mtu kutuona, kama ni kutuona labda ni kwenye camera maana hiyo complex ilikuwa na cctv camera.
Itaendelea..
Utasikia kesho ID ya sandile..Jamani wajumbe mpaka sasa kwenye uzi wetu huu tushapata ID mpya mbili ambazo ni
1. khumbu_peresa
2. workshop
Mimi ni mweka hazina kwa hiyo mahesabu mpaka kisa kiishe