Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hii mbungii kila episode taamu,ila konda msafi unatutesa sana kufanya imagination ya kitu ambacho hatukionii,ahadi ya picha mwisho wa story naomba itimiee
 
Nimeamua kwenda Zouth Afrika kumtafuta khumbu najaribu kupata taarifa mbalimbali kabla ya kwenda
20210214_003835.jpg
 
Nashangaa mnaninyoshea kidole kanakwamba mimi ndo nlikuwa namfanya khumbu awe hayupo active sana kwa konda msafi

Seems watu humu ndani mnapenda sana uzinzi si wanawake si wanaume, sasa jamaa akielezea xxx kwenye uzi mnafaidika nini kama sio kuchukua sabuni na kufanya yenu? Kesho mnakuja na nyuzi ati nguvu za kiume zimekata,

Vijana acheni ngono haina faida yoyote ni kujilisha upepo.
we mjinga mjinga pita kushoto achana na huu uzi
 
Huu uzi nausindikiza na ngoma ya Expose Dj Bojas ft Ntshebza, hizi ngoma zinapigwa sana kwene maclub ya SA, alafu nna Kvant yangu naichumchum mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom