Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#maendeleo hayana chamaUsiku ule baada ya kumaliza gemu wazo la kutaka kumwuliza kuhusu jana yake kuonekana akiwa kwenye gari maeneo ya Point likanijia. Kawaida ya Khumbu alikuwa hapendi mno kuulizwa maswali ya kumtilia mashaka au ya kuonyesha simwamini. Hivyo nilijua nikianzisha hiyo mada tutaishia kugombana. Nikaamua kupotezea.
Maisha yaliendelea na mahusiano yangu na Khumbu yaliendelea mpaka nimemaliza chuo japo hapo katikati kabla ya kumaliza chuo ulitokea ugomvi mkubwa sana uliosababisha tuachane kwa muda.
Kuna siku Khumbu aliniambia amepata kazi benki, bank teller hivyo sasa hivi hatakuwa anapatikana sana kama zamani. Alichokuwa anamaanisha ni kwamba hataweza kuwa anakuja kila nitakampomuhitaji, hivyo siku nikimuhitaji halafu akashindwa kuja inabidi nimuelewe.
Baada ya Khumbu kupata kazi tukawa tunaonana mara moja moja sana. Inaweza kupita hata wiki mbili hatujaonana, sikuona tabu sana maana nilijua kwa sasa ana majukumu ya kikazi. Maisha hayo ya kutokuonana mara kwa mara ndio yaliendelea hadi mwisho wa penzi letu.
Siku moja, ilikuwa siku ya Jumapili, Khumbu alinipigia akaniambia nisitoke nyumbani anakuja kushinda na mimi. Hapo tulikuwa hatujaonana karibia kama wiki mbili hivi, hivyo nilikuwa nimemmiss hatari. Ikumbukwe nilikuwa sina mwanamke yoyote zaidi ya Khumbu hivyo hata siku mbili tu nikiwa sijamuona nilikuwa nammiss hatari, sometimes hisia za Khumbu zikinijia nilikuwa napata mfadhaiko, nakuwa kama mgonjwa. Kwa hiyo kutokuonana na Khumbu kwa wiki mbili ilikuwa mateso sana. Kwanza nilikuwa simuamini kabisa. Nilikuwa najua hizi wiki mbili lazima kuna mtu kama sio watu wanamchakata.
Mida kama ya saa sita akanipigia simu ananiambia yupo getini nikamfungulie. Nikachukua rimoti ya geti nikaelekea getini. Kufika hapo getini nashangaa simuoni ila kuna gari mpya aina Polo Vw ipo hapo getini inataka kuingia. Ikabidi nisogee kabisa hapo getini kuangalia Khumbu yuko wapi. Kikawaida unaweza kufungua geti hata ukiwa umbali wa mita 100, kwa hiyo nilitegemea ningemuona Khumbu kasimama hapo getini hivyo ningemfungulia geti bila ya kwenda kwenye geti, yaani ningebonyeza tu rimoti nikiwa kwa mbali na mgeni wangu angeingia. Nilienda mpaka getini kumwangalia Khumbu pia kuiangalia hiyo gari iliyokuwa pale getini inasubiria kuingia. Kwa mshangao Khumbu ndio alikuwa mwenye ile gari, nilipofika getini alishusha kioo cha gari na kuchungulia ili kunipa ishara ni yeye hivyo nifungue geti aingie.
Aliingia na nikamwonyesha sehemu ya kupaki gari yake. Mmh! Khumbu alikuwa amevaa miwani ile ya kisista du rangi kama ya ugoro hivi, nywele kazibana kwa nyuma. Kavaa blouse mikono mifupi imemshepu kimwili chake vizuri hatari. Chini katupia suruali ya kadeti zile za mabaka mabaka kama za jeshi, hakika alipendeza. Nikamkaribisha ndani huku najiuliza huyu kapata wapi hili gari? Kazi yake ya ubank teller ndio kanunua na gari? Au kuna sponsa?
Dada yake yupo.,.Dada yake yuko wapi?
konda msafiKipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wapo ibadani muda huu ila akili zipo kwenye huu Uzi.
Mshike tatkkKumekucha hatimaye.... Haya mambo ya khumbu yatafanya nimle beki tatu muda sio mrefu...[emoji1][emoji1]maana naona siku hizi mara aniamkie mara aache na siku nyingine anapita na khanga moja mbele yangu...
Mbona nimekiongelea huko mbele mkuu. Endelea kusoma uzi utakikuta.konda msafi
Hii ndyo comment ya mwisho kwenye uzi wako naona uhalewa sifa nakushauri uachane na hii story imetosha, nyambafu ila samahani sikutegemea kama ipo siku nitakutukana samahani tena
Picha za swimming ultuahd imkuaje tena boss ya mbokaMbona nimekiongelea huko mbele mkuu. Endelea kusoma uzi utakikuta.
Wacha aweke kila kitu... Nyie ndo mnavuruga uzi huu. Halafu unasema sisi? Yani unanichanganya huko na mimi? Jisemee mwenyewe [emoji1781][emoji1781][emoji1781]Sasa sisi picha ya malovebite yako ya nini? Sisi tuwekee picha ya Khumbu tu
Mods wafute kipengele baada ya muda sio Uzi uachwe uiahiHabari wakuu? Nimepitia comments za wadau na kuona karibia kila mtu anataka nisikiruke kipengele cha 071. Halafu nimeona hii thread imepata view nyingi sana. Kulingana na watu wengi kuonyesha kutaka kipengele tajwa nikiweke, nimeona haina budi nikiweke. Ila ningeomba moderators waufute huu let's say baada ya wiki hivi. Maandishi yanadumu, vizazi na vizazi vitakuja kusoma huu uzi na nisingependa uzi huu uwe sehemu ya kuhamasisha hicho kitendo ingawa kitendo chenyewe hakikufanyika. Sasa sina uhakika kama moderators watakuja kuufuta huu uzi au ndio watauacha uendelee kuwepo daima.
duh mkuu umeyumbaaaaJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Katika vitu ulivyoharibu na hii wikiendi ni kukatisha uzi umetukatili sana ni bora umeendelea hata kwa kuchelewesha mkuu plz Sikia ombi languJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Ujaweka picha mkuu ilo utatuangusha sana sana, tutabak na maswali kadhaa, khumbu ilikuaje akasababisha mkamatwe, khumbu nini kilimuua, jaribu kutype vipengele vya kumalizia vizuri.Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Una uhakika Kama huyu Ni khumbu [emoji15][emoji849]Suala la picha tumemalizana . Tuendelee na mambo ya msingi ya tigo. Hatujajua kijana wetu ndo alkuwa na kitendea kaz kikubwa au hakukuwa na kirainishi nyakat hizo! Mana mpaka hapo yule shemeji alikuwa kahaba mzoefu tu.
Sikuwahi kuwaza kama nitatamani kukuweka makofi mwisho wa huu uzi. Anyway [emoji119][emoji119][emoji119]Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.