Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

#maendeleo hayana chama
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
konda msafi
Hii ndyo comment ya mwisho kwenye uzi wako naona uhalewa sifa nakushauri uachane na hii story imetosha, nyambafu ila samahani sikutegemea kama ipo siku nitakutukana samahani tena
 
Kumekucha hatimaye.... Haya mambo ya khumbu yatafanya nimle beki tatu muda sio mrefu...[emoji1][emoji1]maana naona siku hizi mara aniamkie mara aache na siku nyingine anapita na khanga moja mbele yangu...
Mshike tatkk
 
Mods wafute kipengele baada ya muda sio Uzi uachwe uiahi
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu.

Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.

Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
 
duh mkuu umeyumbaaaa
 
Katika vitu ulivyoharibu na hii wikiendi ni kukatisha uzi umetukatili sana ni bora umeendelea hata kwa kuchelewesha mkuu plz Sikia ombi langu
 

Hapa mzeee umetuacha mir naomba utuengezee kipengele kua Khumbu alikufa kwa akiwa anaumwa na HIV aama alikufaje na alikufa wewe ukiweko south majibu muhimu
 
Ujaweka picha mkuu ilo utatuangusha sana sana, tutabak na maswali kadhaa, khumbu ilikuaje akasababisha mkamatwe, khumbu nini kilimuua, jaribu kutype vipengele vya kumalizia vizuri.
Muda ni mali ila malizia mkia huu
 
Suala la picha tumemalizana . Tuendelee na mambo ya msingi ya tigo. Hatujajua kijana wetu ndo alkuwa na kitendea kaz kikubwa au hakukuwa na kirainishi nyakat hizo! Mana mpaka hapo yule shemeji alikuwa kahaba mzoefu tu.
Una uhakika Kama huyu Ni khumbu [emoji15][emoji849]
 
Sikuwahi kuwaza kama nitatamani kukuweka makofi mwisho wa huu uzi. Anyway [emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…