Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuzu huyo achana nae mkuuu....Wewe umeona Mayor ni mtu mkubwa sana sio. Mbona Mayor alikuwa anakuja kunyoa kwenye salon za waburundi hizi za mitaani?
Wewe umeona Mayor ni mtu mkubwa sana sio. Mbona Mayor alikuwa anakuja kunyoa kwenye salon za waburundi hizi za mitaani?
Pale unaposikia story itaendelezwa!!Basi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode moja.
Mkuu hii picha imeufanya moyo wangu ujawe na simanzi. Mapenzi ni feeling nzuri sana.
Mkuu hii picha imeufanya moyo wangu ujawe na simanzi. Mapenzi ni feeling nzuri sana.
Mkuu hiyo picha inauhalisia?Mkuu hii picha imeufanya moyo wangu ujawe na simanzi. Mapenzi ni feeling nzuri sana.
nimesabuskraibu kabisaaa Nasubiri mkeka muhindi Aliwe [emoji3][emoji3]Nawaandalia muendelezo ndugu zangu. Nadhani kwenye Jumatano nitatupia mkeka wa kutosha.
Sawa mkuu big up,,ila wakati tunasubiri hadi j5 ungefanya kutupia ata picha ya khumbu mzee kusindikiza izo sikuNawaandalia muendelezo ndugu zangu. Nadhani kwenye Jumatano nitatupia mkeka wa kutosha.
Nimewahi mkuta mheshimiwa mmoja anagombania mwanamke na mchizi nikamsaidia kumpata na akaondoka nae. siku nimeenda ofisini kwake kanihudumia kwa kujivuta vuta nikamwambia mh. unanifahamu akajibu hapana we mtoto wa nani nikamkumbusha ilo tukio la kumsaidia kumpata demu alicheka sana tangu kipindi hicho ni jamaa yanguKwa mfumo wa Serikali za kiafrika Mayor MTU wa kawaida tu, mbona hata hapa Tz wabunge wanagegeda Bar Maids, Machangudoa sasa jamaa anashangaa hajui nguvu ya mwanake hahahaa!
Kweli kabisa,amalizie maana tunaisubiri kwa hamu mnoI'm totally flabbergasted..ni bora mtu usilete stori kama huwezi kuimaliza na kama ulidhani utaimaliza haraka na umeshindwa basi bora kwenda nayo mosi mosi ili umalize maana stori ishapata interests nyingi na kuikatisha kama hivi ni kuwaumiza watu kihisia.
Mzee malizia huu mzigo,acha hizo pigo aisee.
Nazingatia mkuuu kote koteAngalia usisahau kunyonyesha....🤣🤣🤣🤣
Hapo wap ss south auStory fupi
View attachment 1702601
Maisha kuangaika bwana,katika sehemu ilitakiwa watanzania kuwa mji wao hii sehemu,ila wengi rohoo zetu zinaonyesha hata fitina tu kukatisha tamaa ya mtu hata JF zipo sana.
Hapa bwana kuna wakenya ndio waliokalibishwa na wabongo,kuna waganda,kuna wasomali maana wakenya ndio waliowaleta hapo,kuna wa ethiopia ukisikia wa ethiopia wana pita kwetu ujue pa kufikia hapa jozi kwa sehemu nyengine sijui ili wajipange waingie cap town kama wakimbizi.
Yote haya hii sehemu unaweza kusema somalia land au ukanda wa watu wapwani.mirungi hapa hata polisi hawa jui ni nini ila inalimwa sijakumbuka sehemu gani,kahawa ya ethiopia hapa unapata,nyama ya ngamia hapa ila sio ya kugombea msikitini pale msikiti wa ngamia sijui manzese,silaha hapa utazani hupo somalia maana hata polisi hawaji kizembe,wahindi wa kila aina. Na n.k
Kuna wamalawai wengi mpaka kuna mtaa unaweza kusema hupo tandale kwa mtogole,kuna madoni na misikiti mikubwa yani ijumaa ikifika sio kwetu watu wanasaidia maskini mpaka unajiuliza!?/€:8:9:9:&€):.
Ila maisha ya huku jamani japo ni sehemu nimekaa vijana waliokuja hata hawa pajui sehemu ya mji na wengi walikuwa mateja na vilema [emoji17] .na wengine kusema familia zao walisha sema amekufa.wengine wamezaa na wa huku,na wengine omba omba kabisa.
Utafutaji ni safari,watu wanaishi maisha mabovu na wapo waliofanikiwa sio kivile kwa njia halali.
Ila mwanamke wa huku si watanzania hata hupo getoni ila kama unaweza kumuhudumia kidogo ndugu huyo ni wako .maana katua mzigo
Naweza wapa visa vingi
Nakukumbuka bro.Ndugu yangu Philipo D. Ruzige nipo hapa mkuu
Mkuu stori itaisha. Msihofu.Nakukumbuka bro.
Tupi hapa kumsihi Konda Msafi atumalizie hii stori..[emoji1][emoji1][emoji1]