Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jamani! Khumbu amekufa na tako lote lile!
Naamini yasingempata hayo,ndio angekuwa shemeji yetu
 

Ukisikia ijumaa inaanza basi pombe na nyama hapa tuna choma kuku



Vichwa vya kuku na vifirigisi za kuchoma unaweza kuokota pisi kali .ila njaa itawamaliza watoto wa kule.pembeni vitunguu vya mafuta.

Kaburu rahaaa
“impilo ilunya lwakho”
 
Story fupi


Maisha kuangaika bwana,katika sehemu ilitakiwa watanzania kuwa mji wao hii sehemu,ila wengi rohoo zetu zinaonyesha hata fitina tu kukatisha tamaa ya mtu hata JF zipo sana.
Hapa bwana kuna wakenya ndio waliokalibishwa na wabongo,kuna waganda,kuna wasomali maana wakenya ndio waliowaleta hapo,kuna wa ethiopia ukisikia wa ethiopia wana pita kwetu ujue pa kufikia hapa jozi kwa sehemu nyengine sijui ili wajipange waingie cap town kama wakimbizi.
Yote haya hii sehemu unaweza kusema somalia land au ukanda wa watu wapwani.mirungi hapa hata polisi hawa jui ni nini ila inalimwa sijakumbuka sehemu gani,kahawa ya ethiopia hapa unapata,nyama ya ngamia hapa ila sio ya kugombea msikitini pale msikiti wa ngamia sijui manzese,silaha hapa utazani hupo somalia maana hata polisi hawaji kizembe,wahindi wa kila aina. Na n.k

Kuna wamalawai wengi mpaka kuna mtaa unaweza kusema hupo tandale kwa mtogole,kuna madoni na misikiti mikubwa yani ijumaa ikifika sio kwetu watu wanasaidia maskini mpaka unajiuliza!?/€:8:9:9:&€):.

Ila maisha ya huku jamani japo ni sehemu nimekaa vijana waliokuja hata hawa pajui sehemu ya mji na wengi walikuwa mateja na vilema [emoji17] .na wengine kusema familia zao walisha sema amekufa.wengine wamezaa na wa huku,na wengine omba omba kabisa.

Utafutaji ni safari,watu wanaishi maisha mabovu na wapo waliofanikiwa sio kivile kwa njia halali.
Ila mwanamke wa huku si watanzania hata hupo getoni ila kama unaweza kumuhudumia kidogo ndugu huyo ni wako .maana katua mzigo

Naweza wapa visa vingi
 
Kwa mfumo wa Serikali za kiafrika Mayor MTU wa kawaida tu, mbona hata hapa Tz wabunge wanagegeda Bar Maids, Machangudoa sasa jamaa anashangaa hajui nguvu ya mwanake hahahaa!
Nimewahi mkuta mheshimiwa mmoja anagombania mwanamke na mchizi nikamsaidia kumpata na akaondoka nae. siku nimeenda ofisini kwake kanihudumia kwa kujivuta vuta nikamwambia mh. unanifahamu akajibu hapana we mtoto wa nani nikamkumbusha ilo tukio la kumsaidia kumpata demu alicheka sana tangu kipindi hicho ni jamaa yangu

na watu huwa wanashangaa mbona jamaa ananata sana ila kwangu haletagi kelele kumbe ni tukio hilo tu
 
Kweli kabisa,amalizie maana tunaisubiri kwa hamu mno
 
Hapo wap ss south au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…