Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hehehe na wewe unakipaji cha kubembeleza...kwa maneno Haya Ingekua ni Mimi ningeendelea.
 
Hata heading hujaitendea haki kwa kweli. Hatujaona wapi ulitaka kutolewa roho.

PAMOJA NA MICHANGO YA WENGINE JITAHIDI KWENYE HIZO EPISODE ZAKO ZA MWISHO. ELEZEA YAFUATAYO.

1. Toa matukio ya mwisho mwisho yaliopelekea ww na Kumbu mkaachana maana kama ni kuachana mmeachana mara nyingi tu.
Game yako ya mwisho na Kumbu usiiache hata kama ulikua hujui kama ndo game ya mwishoπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

2. Elezea kwa kina siku zako za mwisho kuanza kurudi bongo
3. Elezea life la masela uliloliacha na la sasaivi
4. Pia kwa kumbu elezea na kifo chake kilikuaje kuaje hata kwa ufupi
5. Wapi ulitaka kutolewa roho na ilikuaje kuaje.

USIPOELEZEA HAYO INAWEZEKANA HATA KUMBU MWENYEWE ULIKUA HUMFIKISHI KILELENI WEWE.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
konda msafi
Pliz sumulize basi mlivyoachana na kufaliki kwake tupate hitimisho ya uzi wako bana
 
Hakika umenichekesha kwakweli
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kutolewa roho kunakuja. Ni moja ya sababu iliyonifanya niamue kurudi Bongo. Maana niliona nishaanza kuwindwa.
 

Mkuu kwa sababu kwa hiari yako umeamua ku share hii story yako na sisi..fumbia macho wakosoaji ambao hawana maana yoyote zaidi ya wivu tu wanaona kwa hayo uliyoyapitia. Wanatamani wangekuwa wao
 
Now you are matured enough.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah khumbu huyu khumbu huyuuuu mwenye tako la kuning'inia....mbona mimi sikutani nao, nakutana na wenye tako la kuchanua tuπŸ˜“πŸ˜Ÿ
 
Kutolewa roho kunakuja. Ni moja ya sababu iliyonifanya niamue kurudi Bongo. Maana niliona nishaanza kuwindwa.
Unaona sasa unataka kuacha simulizi wakati hata heading ulikua hujaimaliza. Unaweza ukamuacha baba Issa na madem wake kwa sbb tumewakuta ndani ya simulizi zako ila hata heading uache ina hang aaah bwana hatukuelewi. Tafazali baba Issa nae ummalize na wale madem wake kama ukiweza.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…