Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Rafiki naamini wewe haupo hivyo. Kwanza umetembea mataifa mbalimbali Yale mautandu ya Kitanzania kwenye ubongo wako yalishatoka. Sasa mkuu fanya hata Mara mbili kwa wiki Unajua wewe jamaa una kipaji Cha kusimulia?? Jiulize Ni nyuzi ngapi zimeliliwa kwa kiasi hiki Kama uzi wako?? Mi Ni msomaji wa vitabu na makala Sana. Nikianza kusoma kurasa tano tuu za mwanzo najua Niendelee au laa. Huu uzi nimeuanza Jana saa mbili usiku. Nimekesha hata Ibada sijaenda. Kuna post jamaa katoa hapo juu namna ya kuandika nimekutag. Naomba pliz kwa heshima kubwa Ya JF na ya kwako uliyojijengea Humu na Pia Shemeji yetu Khumbu. Uangalie namna yoyote utakayoweza hata ikichukua miezi ila tupate Story yote. Halafu Unajua kuwa hakuna mtu anayepewa kitu kwa ajili yake mwenyewe??? Umepewa kipaji Ni kwa ajili yetu. Umeenda nchi za watu Ni kwa ajili yetu. Hivi Unajua wengine tumesafiri huko kote ulikokua kihisia?? Hivi Unajua wangapi wanatamani kuvuka tuu mpaka wameshindwa?? Achilia mbali kuwa na Vimwana aina ya Khumbu.. Hivi mkuu Unajua umefufua penzi langu upya na mtoto wa kinyantunzu??? Tafadhali Sana Boss usitutendee haya.... Wengine Siyo Malaya, Si walevi, si washabiki wa mpira wala Muziki... JF ndipo kisima Cha maliwazo furaha Amani na utulivu kwetu. Be Blessed
Hehehe na wewe unakipaji cha kubembeleza...kwa maneno Haya Ingekua ni Mimi ningeendelea.
 
Hata heading hujaitendea haki kwa kweli. Hatujaona wapi ulitaka kutolewa roho.

PAMOJA NA MICHANGO YA WENGINE JITAHIDI KWENYE HIZO EPISODE ZAKO ZA MWISHO. ELEZEA YAFUATAYO.

1. Toa matukio ya mwisho mwisho yaliopelekea ww na Kumbu mkaachana maana kama ni kuachana mmeachana mara nyingi tu.
Game yako ya mwisho na Kumbu usiiache hata kama ulikua hujui kama ndo game ya mwishoπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

2. Elezea kwa kina siku zako za mwisho kuanza kurudi bongo
3. Elezea life la masela uliloliacha na la sasaivi
4. Pia kwa kumbu elezea na kifo chake kilikuaje kuaje hata kwa ufupi
5. Wapi ulitaka kutolewa roho na ilikuaje kuaje.

USIPOELEZEA HAYO INAWEZEKANA HATA KUMBU MWENYEWE ULIKUA HUMFIKISHI KILELENI WEWE.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
konda msafi
Pliz sumulize basi mlivyoachana na kufaliki kwake tupate hitimisho ya uzi wako bana
 
Hata heading hujaitendea haki kwa kweli. Hatujaona wapi ulitaka kutolewa roho.

PAMOJA NA MICHANGO YA WENGINE JITAHIDI KWENYE HIZO EPISODE ZAKO ZA MWISHO. ELEZEA YAFUATAYO.

1. Toa matukio ya mwisho mwisho yaliopelekea ww na Kumbu mkaachana maana kama ni kuachana mmeachana mara nyingi tu.
Game yako ya mwisho na Kumbu usiiache hata kama ulikua hujui kama ndo game ya mwishoπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

2. Elezea kwa kina siku zako za mwisho kuanza kurudi bongo
3. Elezea life la masela uliloliacha na la sasaivi
4. Pia kwa kumbu elezea na kifo chake kilikuaje kuaje hata kwa ufupi
5. Wapi ulitaka kutolewa roho na ilikuaje kuaje.

USIPOELEZEA HAYO INAWEZEKANA HATA KUMBU MWENYEWE ULIKUA HUMFIKISHI KILELENI WEWE.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakika umenichekesha kwakweli
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kutolewa roho kunakuja. Ni moja ya sababu iliyonifanya niamue kurudi Bongo. Maana niliona nishaanza kuwindwa.
 
Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.

Mkuu kwa sababu kwa hiari yako umeamua ku share hii story yako na sisi..fumbia macho wakosoaji ambao hawana maana yoyote zaidi ya wivu tu wanaona kwa hayo uliyoyapitia. Wanatamani wangekuwa wao
 
Habari wakuu? Nimepitia comments za wadau na kuona karibia kila mtu anataka nisikiruke kipengele cha 071. Halafu nimeona hii thread imepata view nyingi sana. Kulingana na watu wengi kuonyesha kutaka kipengele tajwa nikiweke, nimeona haina budi nikiweke. Ila ningeomba moderators waufute huu let's say baada ya wiki hivi. Maandishi yanadumu, vizazi na vizazi vitakuja kusoma huu uzi na nisingependa uzi huu uwe sehemu ya kuhamasisha hicho kitendo ingawa kitendo chenyewe hakikufanyika. Sasa sina uhakika kama moderators watakuja kuufuta huu uzi au ndio watauacha uendelee kuwepo daima.
Now you are matured enough.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah khumbu huyu khumbu huyuuuu mwenye tako la kuning'inia....mbona mimi sikutani nao, nakutana na wenye tako la kuchanua tuπŸ˜“πŸ˜Ÿ
 
Kutolewa roho kunakuja. Ni moja ya sababu iliyonifanya niamue kurudi Bongo. Maana niliona nishaanza kuwindwa.
Unaona sasa unataka kuacha simulizi wakati hata heading ulikua hujaimaliza. Unaweza ukamuacha baba Issa na madem wake kwa sbb tumewakuta ndani ya simulizi zako ila hata heading uache ina hang aaah bwana hatukuelewi. Tafazali baba Issa nae ummalize na wale madem wake kama ukiweza.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom