hicho kipimo kipya cha corona kimekuharb pole sanaStori yenyewe mbaayaaa!!![emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Dah khumbu huyu khumbu huyuuuu mwenye tako la kuning'inia....mbona mimi sikutani nao, nakutana na wenye tako la kuchanua tu[emoji29][emoji45]
Dah khumbu huyu khumbu huyuuuu mwenye tako la kuning'inia....mbona mimi sikutani nao, nakutana na wenye tako la kuchanua tu[emoji29][emoji45]
[emoji16][emoji16][emoji16]Muwe na usiku mwema wa dada wote magubegube yaliomshinda mtume na maswahaba zake, wenye damu za kunguni na nyota za punda tasa, mliokosa mualiko hata siku ya Valentine's Day kwenda kuhongwa hata Banana au K-Vant.
Mmekaa kukodoa macho JF usiku na kuharisha kwenye thread za watu, wakati wenzenu tupo nao viwanja.[emoji4]
Naam na hii ndio sababu iliyotufanya wengi tukimbilie kusoma huu Uzi tulikuwa na shauku ya kutaka kujua ilikuwaje kuwaje mpaka uka escape kifoKutolewa roho kunakuja. Ni moja ya sababu iliyonifanya niamue kurudi Bongo. Maana niliona nishaanza kuwindwa.
Acha uoga wa kiboya dogo mi ntamjulia wapi
Unajua kukun'guta siafu?Juzi kati alirudi akauliza tuendelee tulipoishia
Mnh.... Ya Kweli haya?? Sasa mbona Kila Ke ninayembembekeza anagoma?? Labda kma na wewe Ni Ke uniruhusu nijaribu kukubembeeleza na wewe labda nitafanikiwa
Yaani hilo halina ubishi.Tukikutana mimi na wewe utasema shikamoo braza kama sio shikamoo mzeewatu mna mambo huku jf yan daah ushanikadiria me ni dogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio najifunza apa we mzeeUnajua kukun'guta siafu?
😅nitashukuru sana, nelson mandela bay, kwadwesi-mpetha street, elekeza kuanzia hapo mkuuAu upo SA saivi nikuelekeze sehemu za kwenda kama upo Tz hizo sehemu nlizosema ni zinajitahidi
Mzee Kileleni ufikishwe mwenyewe [emoji23]Jamaa una Hekima na Busara Sana unafaa kuwa Kiongozi ndiyo maana nikasema kwenda kwako nchi mbalimbali kumesaidia Sana kukuondolea utando kichwani.. Kwa ninavyowajua WaTz wangekuwa wamesusa na kuanza kurudisha matusi. Ila Siyo kwako. Unajibu kwa utulivu pia Ni msikivu Sana. Asante kwa kuona uhitaji wetu na kuamua kuendelea. Kweli kuandika kwenye simu ni kazi Sana Wewe jitahidi kuweka kwenye com hata Kama Ni Mara moja kwa wiki Lakini usituache njiani Kama Mradi wa umeme wa Gesi au bomba la Mafuta. Utufikishe KILELENI Kweli Kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Big up Mkuu
hicho kipimo kipya cha corona kimekuharb pole sana
Ila hakikisha isiwe mitaa ya kaka zao wale wa ajab ajab maana nao kuna baadhi wana matako balaaahAu upo SA saivi nikuelekeze sehemu za kwenda kama upo Tz hizo sehemu nlizosema ni zinajitahidi
Ubalikiwe Sana mkuu[emoji120][emoji120]Nawaandalia muendelezo ndugu zangu. Nadhani kwenye Jumatano nitatupia mkeka wa kutosha.
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its okKuna salon moja pale workshop ilikuwa inamilikiwa na mburundi rafiki wa jamaa yetu don mkubwa, huyo mayor unayemuona mtu mzito alikuwa anakuja kunyoa pale.
Kakutoa kwa madiba af ghafla anakuacha Tandale🤣🤣🤣🤣Daaah jamaa umeharibu Sana aisee ,kama unataka pesa si useme tu tulipie kuliko kutukatil namna hiyo.
Hi story inanipa feelings dizain Niko kwa madiba yaan naiona mitaa ya south ilivyo kupitia feelings alaf gafla unakuja kutukatil kias hicho ,unakosea mwamba
Ndio diwani lakini keshakuwa mayor... Ni sawa na useme waziri ni mbunge... Sawa ni mbunge lakini ndio keshakuwa waziri... Gari.. Nyumba.. Ulinzi... Mshahara.Tatizo lenu mnadhani wanasiasa wa nchi za watu wana majivuno kama wanasiasa wenu uchwara wa huku. Mayor ni diwani tu by the way.